Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Matatizo ya kujitakia

Wakati wa utawala wa JK mwanzoni kuna Jamaa alikuwa anajiita Ze Utamu, akadhalilisha watu wengi sana mwishowe akajikuta anamdhalilisha Mkuu wa Nchi

Aliishi Michigan, watu walimtafuta kwa mbinu za medani akajikuta kaingia kwenye 18 za Nchi

Alikuja akapigwa pipe akarekodiwa then akaachiwa huru arudi zake US akaambiwa nenda kaendelee ku post, mpaka leo hajarudia, Baba yake alikuwa Waziri wakati wa Nyerere na sasa hivi mmoja wa ndugu zake wa karibu ni Mbunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo ya kujitakia

Wakati wa utawala wa Jk mwanzoni kuna Jamaa alikuwa anajiita Ze Utamu, akadhalilisha watu wengi sana mwishowe akajikuta anamdhalilisha Mkuu wa Nchi...
Nilisikia ana Undungu na Le Mutuz?
 
Back
Top Bottom