Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Ana miaka 27??

Alishinda BBA akiwa na miaka 21.
 
Basi huyo chalii alishika pesa mapema. Polisi wafanye yenye tija haya mambo madogo waache.
Beberu Trump linachongewa hadi midoli lakini wala hangaiki nao.
 
Kimsingi ile ni dhihaka! Na anarudia kosa lile lile si kitu kizuri mfano iwe picha ya Baba yake mtu aipost anacheka vile yeye angejiskiaje? Mwache apate anachokitafuta
Very true. Suppose ni baba yako mzazi, just imagine how disgraceful it is!!! Very painful. Your wife, sons & daughters etc. Daaaah!!
 
Idriss alitakiwa amtanie Bill Nas ila sio Jiwe wa Majiwe


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tanzania ni nchi huru...……….Where is freedom of speech???...……. Mkuu kama ako sahihi why itumike nguvu nyingi kiasi hiki kuhalalisha usahihi wake? Vitu vingine wanatubip hata sie wenye akili ndogo tunashtukia...…. Viva wote wenye school leaving certificate...……...
 
Watanzania akili zetu ndogo sana. Huyu ni comedian na anafanya for fun. Basi tunakua wajingaaaaq as if Magufuli hanyi wala hajambi!!! Hii sio North Korea bana.
 
Back
Top Bottom