Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 771
Hahahaha, Ngoja akakalie chupa kidogo lile tege likae vizuri๐
๐
๐
๐
๐
๐
๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku ulimtukana Buji-Buji, atakujibu kiungwana Sana watu wote tukakuonea huruma, je alikukosea Nini?Hutokaa niona nimemjibu vibaya muungwana, daima natukana watukanaji wenyewe wanajua, huwezi mtukana au kumdhihaki MKUU wa nchi afu nikakuentertain hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo kuna mambo mengi ya kipumbavu ndio maana waafrika tunaonekana hatujakamilika kama binadamuKwaiyo kucheka suti ya raisi ni kosa?very stupid..mnataka kufanya vijana wawe waoga kuwaogopa ndio kwanza watazidi kuzaliwa wengine.Idiots
Huu ni uongo per se,wazee wa propaganda banaMatatizo ya kujitakia
Wakati wa utawala wa Jk mwanzoni kuna Jamaa alikuwa anajiita Ze Utamu, akadhalilisha watu wengi sana mwishowe akajikuta anamdhalilisha Mkuu wa Nchi
Aliishi Michigan, watu walimtafuta kwa mbinu za medani akajikuta kaingia kwenye 18 za Nchi...
Comrade mkamateni kigogo anazalilisha viongoziMatatizo ya kujitakia
Wakati wa utawala wa Jk mwanzoni kuna Jamaa alikuwa anajiita Ze Utamu, akadhalilisha watu wengi sana mwishowe akajikuta anamdhalilisha Mkuu wa Nchi
Aliishi Michigan, watu walimtafuta kwa mbinu za medani akajikuta kaingia kwenye 18 za Nchi...
Dah! Lumumba siyo?Hutokaa niona nimemjibu vibaya muungwana, daima natukana watukanaji wenyewe wanajua, huwezi mtukana au kumdhihaki MKUU wa nchi afu nikakuentertain hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapiga piga watu mikwara hapa. Mnadhani mpo kwenye vikao vyenu vya mafisadi.Peleka ujinga huko
Wampe kesi ya uhujumu uchumi ,haiwezekani Mara ya 2 hii anamkebehi Rais
Raisi ni taasisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiingize na wewe kichwa kichwa uone mmezoea kumtukana wakuu wa Nchi ila kea awamu hii mtakubali tuMnapiga piga watu mikwara hapa. Mnadhani mpo kwenye vikao vyenu vya mafisadi.
Ungeniuliza palepale na kama alijibu kiungwana alielewa wapi alijikwaa, hakuna mtu anazuia criticism, unaweza kucriticize bila kutukana wala kudhihaki, Rais kama mkuu wa nchi ni mwiko kudhihakiwa, nenda GB kamtukane Malkia uone kitachokupata, PM wa UK waweza mdhihaki lakini sio Malkia.Kuna siku ulimtukana Buji-Buji, atakujibu kiungwana Sana watu wote tukakuonea huruma, je alikukosea Nini?
comrade mkamateni kigogo anazalilisha viongozi
Kwani Kigogo ni nani? mbona unataja baadhi ya components za kitu kizima afu na hicho kitu pia unakitaja kama component? ni swala la muda tu mkuu hakuna kisichojulikana ni utashi tu wa kuchukuwa hatua.Kigogo hamuwezi kuelewa role yake kwa sasa
Mtaijua 2025
Fuatilia uanaharakati wa Chahali na Mange then rudi kwa kigogo utaelewa kama wewe ni Mkongwe kwenye Tasnia ya Siasa na michezo ya Kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uongo per se,wazee wa propaganda bana
Uwezo wa kuingia michigan na kufanya uhuni huo upo lkn uwezekano wa kutoka salama ndani ya US haupo...
acha kutisha tisha watu kibwege we jamaa...Huyu jamaa asipo kuwa makini itakuwa historia ni suala tu la muda....
Idris kamaliza form 6 kama si 2013 ni 2014. Ni mdogo tuIdris ana miaka 27?ha ha haa kwahiyo BBA ya 2014 alishiriki akiwa na miaka 21?
Sent using Jamii Forums mobile app