Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

Kwani hii awamu inataka nini? Watu wakikosoa hapana, wakichekesha hapana hivi ni kweli mhusika naye hapendi au kuna watu wanajivika hisia za boss?
 
Safari hii ndo akome bora hata Ommy dimpoz anatuchekesha na dogo dimpoz wala hatumii nguvu. Shida Idris anaforce kuchekesha ni bora aachane na kuchekesha
 
Matatizo ya kujitakia

Wakati wa utawala wa JK mwanzoni kuna Jamaa alikuwa anajiita Ze Utamu, akadhalilisha watu wengi sana mwishowe akajikuta anamdhalilisha Mkuu wa Nchi

Aliishi Michigan, watu walimtafuta kwa mbinu za medani akajikuta kaingia kwenye 18 za Nchi

Alikuja akapigwa pipe akarekodiwa then akaachiwa huru arudi zake US akaambiwa nenda kaendelee ku post, mpaka leo hajarudia, Baba yake alikuwa Waziri wakati wa Nyerere na sasa hivi mmoja wa ndugu zake wa karibu ni Mbunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu niliona .....hatarudia tena yule mtoto.

Sent using ubishi.com
 
Back
Top Bottom