Sidhani kama atakuja kwako kukulilia baby its her lifeMaisha ya wema utafikiri cinema mhhh ipo siku atagundua kwamba kuna maisha halisi age inaenda kwenye umama itakuja uzeee wakati akitaka kukatika hawezi
Hahaha mkuu nmecheka sana,unasifia kumbe unadongoa...Miaka 28 si haba kwa msichana ni muda muafaka kwake kuwa na mtoto
Haaaaaaahaaa jamani jamaniHahahaa yani panki ka dinning table,sijawahi kumpenda bora tu walivyoachana
Ndio hivyo naunda kitu cha kiswahili kikalii balaaaHahaha unda ya kwako bana ndo itanoga
Wewe dondosha hilo shairi lako nilikute, maana wewe nawe maneno mengiiiTwende PM nikakutungie mashairi.... wallah lazima utanizalia kabinti karembo
hayo ndio madhara ya kutoa tigo kupita kias ona unaropokaropoka tuKama ya demu wakoo
HahahahahahaHahaha sitakiii
HahahahahHahahahahaha
Uknw kabla idris hajaanza uhusiano na Wema aliniomba ushauri....
Uknw nilipokuwa majuuz nilisomea course ya mimbaz kwa hiyo nilimpa mbinu zote uknw mimi ni akili kubwa na sasa mmeona!
Uknw na mimi ndio nimepewa kazi ya kutafuta jina la mtoto uknw ..le super star...
hahahaha
kuna Yule dogo aliye toa ahadi Lowasa asipo shinda uchaguzi wamfanyeje? sijui alipotelea wapiTeh Teh....Teh mods wanani hujuma kila niki ahidi donge nono
Mbona humalizii ahadi???Naahidi kama Wema atakuwa na mimba................................................
Utafikiri amepata mkataba wa kuandika kitabu cha english literature kwa ajili ya wanafunzi wanaofanya mtihani wa std 7jamaa ana maneno matamu
Ha ha haHuwa tunawashikaga masikio na vitu vidogo tu, sema basi tu kuhonga vikubwa imeshakuwa fashion inabidi tuendelee tu.
Ila duh ameongea maneno matamu matamuUtafikiri amepata mkataba wa kuandika kitabu cha english literature kwa ajili ya wanafunzi wanaofanya mtihani wa std 7
Kumbe twajuana eeeehayo ndio madhara ya kutoa tigo kupita kias ona unaropokaropoka tu
Kama ukiweza kuingia kwa zari basi wema ni easy tu
Ofcourse ukiwa na kijizigo kidogo lazima uongezee upana na mipira. Chezea bamia weweWote pamoja na wewe mi siingii nyama nyama hata kwa bunduki
Unaelewa maana ya kumtoa nyoka pangoni?Aisee
Haya maneno haya. ......
Yanamtoa nyoka pangoni. ..