Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Wema, the Mistress of a Mind Game.
Alijisononesha mbele ya hadhara kuwa kahangaika kwa madaktari na bado hashiki mimba.Hii niliitafsiri kama mtego kwa maadui ili waamini hana uwezo wa kuzaa na ili apate public sympathy ambayo kikweli aliwin.Ila sio kwa baadhi ya watu kama mimi.Sikuamini kuwa alikua na tatizo serious la kupata mimba kwa kuwa mwenyewe ailiwahi kukiri hadharani kuwa alitoa mimba ingawa sikuona haja ya yeye kuelezea mambo yake hadharani.
Tena, akasema kuwa hana mpango wa kuzaa.Hii ni kupata kiki tu.
Sifikirii kama Dai au mtu yeyote hakutaka Wema azae...its absurd.
Wema huwa anajitengenezea ulingo mwenyewe, anacheza mwenyewe na kushinda mwenyewe.
Hongera kwa mimba.Usitumie mimba yako kama fimbo, wewe mwenyewe ulijitengenezea mazingira ya kuitwa Mgumba ilihali ulijua hauna ugumba.