Idris Sultan: Milioni mia sita ziliisha nikashindwa mpaka kulipa kodi nikarudi kwa mamdogo Kimara

Kha..yaani kaenda kuzika hela kwenye madini baadala ya kuzika hela kwenye papuchi...yaani mil 600 mie cha kwanza mil400 fixed deposit mil 100 ndinga kali alafu mil 100 hapo nikugegeda papuchi mia moja za million moja moja
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nnachojua mpaka sahv,

Wema ana mChango mkubwa ktk kufilisika kwa IDRIS.

Asitake kutuona wote wapumbavu,

kana kwamba wema alkua pale kwa MAPENZ ya dhati.

Mbona alipofulia, fasta wema akachapa mwendo
 

Watanzania tuna matatizo kichwani. Sasa uongo wote huo anaongea ili nini kwenye chombo cha habari? Kwa faida gani? Watu maarufu bongo bure kabisa. Hakuna hata wa kumwamini.
 
nimemsikiliza,mwanzo nilimuona mjinga sana na mbaya zaidi hataki kukubali alifanya ujinga, lakini mwisho nimemkubali sana, ameweza kupambana na kuzipata, nadhani hadi mwaka huu uishe atakuwa amezirudisha m600 zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…