Shida si kawekeza wapi, shida ni kuachana na akili yake ukamkabidhi mtu pesa zooote akufanyie biashara. Alitumia akili ya uchekeshaji kwenye biashara.Million mia sita ushindwe hata kuinvest kwenye real estate potelea mbali bishara zingine.
Au wewe unadhani jibu gani linamfaa?
Hili linawezekana pia.Jamaa muongo sana, kawekeza vizuri tu ila hii mbinu aliyotumia ni nzuri sana ili uwe na circle ndogo ya marafiki waukweli
Hela za BBA zina laana mambo yanayofanyika kwenye lile jumba Mungu hayakubali ,rejea Mwisho Mwampamba na sijui yupo wapi skhz.
Idris anavyopenda harakati msitegemee akaropoka hovyo mali anazomiliki,he ain't that stupid.
Hakuna kinachoshindikana chief ingawa itahitaji jitihadi zaidi tofauti na kama angejiachia tu.Kwani wakitaka kujua mali zake watashindwa kujua chief?
Ukimaliza hizo papuchi Za mil 100 na ukimwi juu.Kha..yaani kaenda kuzika hela kwenye madini baadala ya kuzika hela kwenye papuchi...yaani mil 600 mie cha kwanza mil400 fixed deposit mil 100 ndinga kali alafu mil 100 hapo nikugegeda papuchi mia moja za million moja moja
Ukimaliza hizo papuchi Za mil 100 na ukimwi juu.
Huwezi kumlaumu Wema, Wanawake wameumbwa kutumbua.....Wema alicheza tu pati yake, alipokamilisha huyooo...kama Nyuki akatafuta ua lingine.Nnachojua mpaka sahv,
Wema ana mChango mkubwa ktk kufilisika kwa IDRIS.
Asitake kutuona wote wapumbavu,
kana kwamba wema alkua pale kwa MAPENZ ya dhati.
Mbona alipofulia, fasta wema akachapa mwendo
Kwahiyo ananyumba za kupangisha,hapohapo nae kapanga?apartment 3 chukulia anapata 2m kodi ya mwezi kwa nyumba zote.Huyu muongo tyuuuh wala hana ukweli, pesa zake kafanyia mambo ya msingi sana tu,
Minachojua ana nyumba kigamboni za kupangisha zipo 3, tena 1 amepanga mtu nnae mfahamu kabisaa,
Kapanga nyumba nzma lak 6 per month.
Pia ana dala dala zinazopiga route hapa jijini Dar.
Kawadanganya wabongo maan ndo anajua nn wanapenda kusikia.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mmh umekula ya wapi babaa, mbona ushuhuda mutamu huu?Stupid
Hujasikiliza na uelewe...alipata wawekezaji kupitia umaarufu wakeHyo ya viatu ni fiksi tupu anadanganya,kwa mtaji upi wakati alibakiwa na gari tyu?bado hajaacha fiksi na hawezi kubadilka
Siku zote umejaa negativity..sijui kwaniniHilo gar la milion 30 ni lipi? Alinunua verosa kipind kile ndo zinatamba hapa town..
Kwa sasa anatembelea brevis
Kabisa mkuuHe is a hero, katoka KWENYE 0 hadi 300mil