Idris hakupangiwa MD. Alipangiwa kusoma IT Kampala university. Aliudanganya umma kuwa alipangiwa MD. Japo ni kweli alisoma PCB mbezi high. Na alipata division three ya point 15Wenzake aliokuwa nao jeshi kule musoma
Wako mwaka WA nne wanasoma udaktari na yeye alipangiwa kairuki university...!!
Wema Sepetu sio mtu mzuri.Mimi sielewi kabisa. Unashindaje mil 500 Halafu unafulia mpaka unataka kuajiriwa tena?
Punguza Jazba Mangi.HUYU SIO MANGI.
HAKUNA MANGI MPUMBAVU HIVI. MILIONI 500 UNATUMBUKIZA CHOONI AISEEE. MANGI AKIPATA M10 TU ANATUSUA.
KUDADEKI ZAKE IDRIS.
Inahuzunisha sana kamanda.Dah.. Hivi mtu anaweza kushika milioni mia tano afu akarudi kuajiriwa tena kwa mshahara mbuzi!
HUYU SIO MANGI.
HAKUNA MANGI MPUMBAVU HIVI. MILIONI 500 UNATUMBUKIZA CHOONI AISEEE. MANGI AKIPATA M10 TU ANATUSUA.
KUDADEKI ZAKE IDRIS.
Hiyo radio take home ni tsh.40,000 per month...Dah.. Hivi mtu anaweza kushika milioni mia tano afu akarudi kuajiriwa tena kwa mshahara mbuzi!
hahaha . ..braza nakutakia safari njema ya kumtafuta wema..hahahaALIKUWA na ukata gani huyu aliyekuwa anakula na kulala bure, HAWA huwa wanajisahau sana,HAWA ni vijana wa kuokota dodo ktk mwarobaini halafu hawastuki.
JINA la WEMA limewatoa vijana wengi sana ,LAKINI BAHATI mbaya vijana HAWA hawajui kuishi na WANAWAKE ,ILA kama wangejitambua wangefika MBALI zaidi.NADHANI KWA SASA WEMA ANA KILA SABANU YA KUPATA MWANAUME MWENYE MSIMAMO WA MAISHA ,DINI NA KUACHANA KABISA NA WASANII.
MIMI BINAFSI NAMTAFUTA WEMA NIPATE KUMUELEZA JAMBO !
WASANII NI KAMA WATOTO!
[emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] umeacha sifuri moja au?Hiyo radio take home ni tsh.40,000 per month...
Mtoto wa shangazi yangu yuko pale..
Yeye tu na ujinga wake. Alitaka mambo mkubwa wakati uwezo hana!Wema atakusa ana gundu na mikosi... Ukiwa nae lazima mabalaa yakukumbe... Kufilisika, skendo, kudharauliwa, kuchukiwa..