Idris Sultan: Nilipokuwa na Wema Sepetu nilikumbwa na Ukata

Kuna uzi mmoja uliwekwa juzi wanasema Wema anasomea petrolium engineering...huyu dada ana matatizo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikikumbuka ile scandal ya kwamba wema ana mimba walivyokuwa wanahojiwa na diva ala za roho duh aibu yao
 
HUYU SIO MANGI.

HAKUNA MANGI MPUMBAVU HIVI. MILIONI 500 UNATUMBUKIZA CHOONI AISEEE. MANGI AKIPATA M10 TU ANATUSUA.

KUDADEKI ZAKE IDRIS.
Mr.nice ni kabila gani¿?????
 
Kuna uzi mmoja uliwekwa juzi wanasema Wema anasomea petrolium engineering...huyu dada ana matatizo sana
Wema akiongea kitu lazima wewe unayemsikiliza ujiongeze, mimi huwa nikisikia habari kama hiyo basi sitomlaumu Wema, bali aliyeitoa hiyo habari hadharani.

Ndio maana sikushangaa wengi walipoamini aliposema ana ujauzito.
 
Hahaha mil500 angefungua radio yake. ogopa sana papuchi *****
 
Japo wengi mnambeza na kumtuhumu Wema, lakini mie namuona ni binti ambae anaacha a lasting impact katika mahusiano yake mengi.. Diamond yeye alishakiri hadharani anamshukuru sana Wema kwa kumfundisha kiingereza.. Well, na Idris nae bila shaka hataacha kumkumbuka Wema, kwa kumuweka juu ya mawe..

Kazi nzuri Wema..
 
Mimi sielewi kabisa. Unashindaje mil 500 Halafu unafulia mpaka unataka kuajiriwa tena?
Dogo mpumbavu...Na nina hakika zile 500 huwa hawapewagi zote lazma kuna mambo ya michongo mle huenda alikula 300 tu ila si haba..Itabaki kuwa siri yake!
 
Hiyo hela ingemtosha kufungua kituo chake cha redio

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…