Idris Sultan Yamemfika Hapaa

Hivi mkuu ungekubali uchapiwe tena bila kificho? Apocalypsebella alikula ule mzigo,bado wengine mwacheni tu Ngongoti agugumie siunajua maumivu yakizidi lazima upige ukunga
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hivi mkuu ungekubali uchapiwe tena bila kificho? Apocalypsebella alikula ule mzigo,bado wengine mwacheni tu Ngongoti agugumie siunajua maumivu yakizidi lazima upige ukunga
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Dogo mwenyewe aliànza miyeyusho ndo maana wajanja wakajilia vyao!

Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani!
 
Kila mtu angekuwa anashutiwa video maisha yake tusingeheshimiana wala nini. Wema yuko poa tu, maisha ya mtu hayaonekani na video moja ya umbea
 
A kind of person you wish she was. Ujinga wa akina Mati sio lazima uwe ni masterplan ya Wema... Madame ni msafi tangu zama hizo, lau angekuwa roho mbaya angewapotezea wabaya wake kwenye system, maana ana gig huko.
Madame ni mhumble, hana matata...
Wewe VP Na huyo wema sio bure Pesa ya kigodoro cha juzi umegawiwa uje utetee ujinga.....Yeye Wema huwa anajiahibisha sana Mara ghafra akiachana Na MTU huyo bila hasa subira kesho Bar yupo Na wakongo ananyonyanaaa nao ulimi..What kind of a person you want yo cover
 
Idriss anamwaga povu Snapchat
lloooh!
mwanaume ukue basii!!!.
mxiuuuu
 
Pointless....Eti wengi wana wengi ila kwa kuwa sio masupastar Sasa umesema nini..Kitendo tu cha MTU kuwa star Ni vizuri aangalie nyendo zake..Baada ya yeye auendeshe ustaa ..ustaa unamuendesha yy..Haoni wenzake akina Nansy Faraja K-lyn..Wote wapo Na Ni mastaa ....Kama mabwana tofauti waliwai kuwa nao.Mbona wana heshima..Yaani kuwa superstar sio kigezo cha kujitoa ufahamu.Umeshasema Ni Star Sasa hapohapo unasema wapo wengine sio star wana wanaume wengi ila hawasemwi..Sasa watasemwa VIP Na ilihali hawajulikani.Au niandike apa Mwajuma Aachana Na John..utanielewa wewe.Usijifanye unapenda sana huyo Mama Vigoma.
 
Hujanielewa kabisa,kubwa ni kuwa mashabiki wa wema ndio wanaoendesha maisha yake. Hana privacy hata kidogo. Na hili ndilo linalomcost kwenye rlshps zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…