Hivi mkuu ungekubali uchapiwe tena bila kificho? Apocalypsebella alikula ule mzigo,bado wengine mwacheni tu Ngongoti agugumie siunajua maumivu yakizidi lazima upige ukungaWema alimheshimu Sana Idriss sema yeye na utoto wake tu ndo vimemharibia mana ukiangalia wema alikubali sana kushuka for the sake of love Ila inavyoonyesha wema nae alishindwa jamani
Mana mambo yote ya ndani bwana yule wakikerana anayotoa mi Ndo maana namuita ni mwanaume ******** tu!
Halafu analeta utoto eti wa kujibishana na wanawake ptuuuu!!.
Kajifanya kuzira IG haya sasa tuone kama atakick...!!!
Wiki moja nyingi tunamsahau km Richard,Mwisho na wengineo!
Awe tu mpole mwanume!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]