qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Eeh!! Mwenzangu umbea mzigo, mbona anatuaibisha sasa huyu, we ngoja tutamkomesha, anatufanya sisi mamburula wakati mie jana fasta nime report kuwa kaoa
Khe kumbe.....
Wambea tumeumbukaje
Hahaaa nae anajibu mwee.. sa anataka asifiwe wakati kale kagauni jamani kanasikitisha mtu kuvaa in ur big day na yeye ni mtu alikua amepania saaaana
TACAIDS wana kazi kweli maana hilo chain ni hatari,Rummy,Haidary,Wema,Penny,Diamond,Aunt Cheusidawa,Mcheza Show,Shishi baby,Mziwanda,Mkongoman,Wolper,Dalasi,Clement,Model wa video ya mbagala etc list ni ndefu
Dinazarde, Mrembo by Nature, @gwniveros, Heaven Sent, Mamaafacebook, mamakibunju piteni uku muone ubuyu
Maskini mtoto Wa kiislam anaenda kushiriki ushetani
sasa ameshinda na sikuona baya alilofanya huko
sidhani km we ni muislam itakuwa ngumu sana kunielewa atleast ungekuwa hta na idea kdogo ya uislam nadhani ungenielewa ila kwa kifupi asilimia 98 yanayofanyika mule yamekatazwa kwny dini
hiyo asilimia 98 ya mabaya yanayotendwa mle ndani yeye Idris ametenda asilimia ngapi??? Je wewe mara ngapi umetenda yanayokatazwa na dini?? Hebu jitafakari kiundani kuhusu tamaa, wivu, kusema uongo (usichokua na uhakika nacho), upotoshaji, kujikweza, fitina, chuki uone imefika asilimia ngapi. Hakuna anayekuona ila unajua imezidi 98 japo machoni mwa watu unajionesha mwema
we dada mbona mgumu kuelewa mi nimeeleza kwa mujibu ya dini ya kiislam inavyosema hyo mambo ya mimi nafanya cjui yametokea wapi? hlf isitoshe hunijui .........dini isha declare mambo ambayo muumini hapaswi kuyafanya na kuyaepuka nayo sasa km dini ishakuambia na bdo unafanya hpo ndyo hukum itakapoandikwa iwe mimi au idrisa yote yataandikwa
hapo kwenye red kwanza nitake radhi, halafu nilikukumbusha tu wewe unapokomaa kutafuta madhambi ya wenzio jaribu kuanza kuchunguza matendo yao, Isitoshe hakuna dini hata moja inayofurahia matendo machafu
Atleast umenielewa by the way cjaelewa kwanini nikutake radhi kwa kukuita dada