qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Eeh!! Mwenzangu umbea mzigo, mbona anatuaibisha sasa huyu, we ngoja tutamkomesha, anatufanya sisi mamburula wakati mie jana fasta nime report kuwa kaoa
Khe kumbe.....
Wambea tumeumbukaje
Lol! Ndio hivyo keshajibu leo ila me nilihisi tu kuwa ile harusi haikuwa yake... ila kasema akioa mtajua tu