Idris Sultani ndiye mshiriki wa BBA kutoka Tanzania

Hahaaa nae anajibu mwee.. sa anataka asifiwe wakati kale kagauni jamani kanasikitisha mtu kuvaa in ur big day na yeye ni mtu alikua amepania saaaana

Kichwani na rasta zake kama majani ya maboga, halafu machafu, watu wanapenda ustaa ila hawataki kutimiza masharti yake
 
Wenye dini hawakawii kulianzisha. Maana bba mambo ya mle ndani duh,,anyway dogo aende kusaka note! Ceteris peribus
 
Hahahaha
TACAIDS wana kazi kweli maana hilo chain ni hatari,Rummy,Haidary,Wema,Penny,Diamond,Aunt Cheusidawa,Mcheza Show,Shishi baby,Mziwanda,Mkongoman,Wolper,Dalasi,Clement,Model wa video ya mbagala etc list ni ndefu
 
Haya kila la kheri. Sio ukachomane visu kama yule mwenzako.
 
sasa ameshinda na sikuona baya alilofanya huko

sidhani km we ni muislam itakuwa ngumu sana kunielewa atleast ungekuwa hta na idea kdogo ya uislam nadhani ungenielewa ila kwa kifupi asilimia 98 yanayofanyika mule yamekatazwa kwny dini
 
hiyo asilimia 98 ya mabaya yanayotendwa mle ndani yeye Idris ametenda asilimia ngapi??? Je wewe mara ngapi umetenda yanayokatazwa na dini?? Hebu jitafakari kiundani kuhusu tamaa, wivu, kusema uongo (usichokua na uhakika nacho), upotoshaji, kujikweza, fitina, chuki uone imefika asilimia ngapi. Hakuna anayekuona ila unajua imezidi 98 japo machoni mwa watu unajionesha mwema
 
we dada mbona mgumu kuelewa mi nimeeleza kwa mujibu ya dini ya kiislam inavyosema hyo mambo ya mimi nafanya cjui yametokea wapi? hlf isitoshe hunijui .........dini isha declare mambo ambayo muumini hapaswi kuyafanya na kuyaepuka nayo sasa km dini ishakuambia na bdo unafanya hpo ndyo hukum itakapoandikwa iwe mimi au idrisa yote yataandikwa
 
hapo kwenye red kwanza nitake radhi, halafu nilikukumbusha tu wewe unapokomaa kutafuta madhambi ya wenzio jaribu kuanza kuchunguza matendo yao, Isitoshe hakuna dini hata moja inayofurahia matendo machafu
 
Atleast umenielewa by the way cjaelewa kwanini nikutake radhi kwa kukuita dada
 
Back
Top Bottom