BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Na huyu ndo haider kavira, alikuwaga bwan wa penny, mama ubaya ndo akaja kumchukua, maana na yeye huyu jamaa ana mpunga wa maana na ni rafiki sana wa rummy, so demu atakayepiga rummy jamaa lazima amtonye mshkaji na yeye anapiga, yani wanawachafua sana mastaa wabongo, na hawapindui kwa kuwa jamaa pesa wanazo, huyy nae kashapiga sana julie, nasikia kamgonga hadi martin kadinda kule boko kwa gheto la mshkaji wa huyu jamaa
Jamaa kawa mzuri baada ya pesa kumtembelea, pesa haimkatai mtu binamu, nasikia kapiga had hamisa mobetto
Julie ana drve gar flan ivi ndog ndog kali sana sijui inaitwaje sijawah kuziona sana apa town, hawa malaya mar nyingi wanapewa tu waendeshe, keshi utamuona na rav 4, mara brevis ilimrad fujo tu ila sidhan kama yanakuwa yakwao kweli
Mmmh.......
Naona sasa ivi channel yao wameweka still picture naona mambo si mda wataonyesha, mbona ntakesha nayo hadi hasubuhi
Sio kama mwarabu ivi aliwahi kuigiza movie ya ray hard price?
Kaa utulie . muda si mrefu mtashuudia mtu akifumuliwa linda. maana nasikia eti Kadinda naye ali apply.
Ndo nimeona picha? Nimeshtukaje? Yani hawa watatupa presha wenzao surprise gani hiyo? Ila mwenzangu wamefanya haraka sana hiyo ndoa hata haidumu tupo apa wachawi, utaniambia
Kwa hiyo ndo unafanya nini? Nimekutuma au unaleta shobo apa? Apa umbea tu mambo ya kufundishana jinsi ya kuandika uko peleka usituwekee kiwingu apa
Nipo apa binamu, hamna kitu pale wanatak umaarufu tu wa kujinga,
Mmmhhj bina ikidumu tuhamie mwana.halisi forum
More.....
Hicho kibibi kilikua na hamu ya kuolewa pia kilikosa wa kukioa kimeona kitoe nuksi mjini na amshukuru Ndomo la sivyo angeshiriki bibi bomba
Hivi hua huyu bibi wamechangia mama na ndomo eti