Nshamuacha binamu yangu wa ukwee, twendelee na ubuyu wetu, leo mtaa wa pili naona kimya ila najua lazima tu watusome maana sisi ni kama maji humu, usipotuoga lazima utunywe
Si uniquote mie na wengine unaniboaa bana nawee,tujadili petit na bibi yake
Na usipotuogaa lazima ututawazee tu kwiiiii kwiiiiii
wanatangaza 3 kila siku kuanzia jana.Lèo katajwa jamaa kwenye 3.Eti eeh? Bhas sijamsikia huyo mwingine, naona wengi sana wanam post jamaa kuliko huyo mwingine
Anaitwa jully didas masaburi.mtoto wa meya wa jiji hili la dar,mtoto wa mbunge janeth masaburi,jiran yangu tabata segerea,baada ya baba yake kugombea umeya wakahamia sea view upanga,..namjua fika,sasa hivi kawa begi la unga.best yake mkubwa jack patrick kabla hajafungwa..huyu ndo julie au mtoto wa meya.
Dinazarde umemuona edzen nae kafunga ndoa? Wapi mama wa ikulu aka shangingi la jiji, Mrembo by Nature, Mamaafacebook, Heaven Sent, ram, amu, mamakibunju, geniveros, princess sayuni, Matola, BADILI TABIA, TATIANA, lolowapi kujeni uku mpate ubuyu mpyaa
Eeeeeeeee ni sheeeeedaaaaa shughuli imevamiwa bina nakuambia kesho kutwa au wiki ijayo utasikia Dida nae kafunga ndoa lazima atawajibu,na hivi ndoa za waislam hazinaga gharama basi ni kumuita th shehe,ila kaoa mzurii wallah ukisema cha nini wenzio wanasema watakipata liniiiiiiiiiiiii
Mbuta Nanga nae vipii? ?kaachwa kwenye mataaa
Kuna watu wanajua kujipendekeza humu, mmh yani anataka tu na yeye ajulikane kama warumi, mie nimeaga kwetu shaur zake we muache tu kama hajarud moshi na pedo yake ya blue
Chezeya edezen weye, wewe nawe ebu ntokee apa mbuta nanga ataolewa na nani mjini apa? Labda lemutuz ndo wataendana
ahahah, huyu jamaa nilikuwa namfuatilia sana kipindi yupo i view pale k nyama kwa raquey, alikuwa na vitu flani ivi unique na alikuwa anapenda sana umaarufu, anajua kujibeba halafu ana confidence, kwa kule mjengoni i hope atafanya poa kama mazingira yatakuwa rafiki naye, maana kule mtu lazima uwe na swaga za maana na confidence
Wananunaje sasa? Watuache miaka mie, mmh sasa huyo pet nae ana kazi gani jaman? Ndomo na yeye kakubal huyo poyoyo amuoe dada yake? Mama ubaya apo anaonaje wivu? Kwi kwi kwi kwi kazi anayo mwaka huu
Dinazarde umeona?? Mama ubaya alie tu mwaka huu
Anamtiaga baba yake aibu.mpk baasi yani.na hua hataki kujulikana kama mtoto wa masaburi!