juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Mkuu ana miradi gani huyo mtoto?? Milion 500 zote ziliisha zileKwanini asiachane na utangazaji asimamie miradi yake tu
Dogo mmoja alishinda BBA juzi juziIdris ndio nani wakuu? kukaa sana Maswa huku naona mengi yananipita
Timu wema wanacheka mpaka basi,ila siku wakisikia wema na idilisa wamegombana basi jamaa hata akiwachekesha vipi hawacheki.wanaosema huyo jamaa anachekesha wana matatizo
Gigy money naye mtangazaji[emoji15] [emoji15] [emoji15] wa kipindi gani mkuuyan choice fm me nashangaa ad gigymaney ni mtangazaji cjui walikosa watangazaji au vip
kwangu hii taarifa ni km Xclusive,kumbe nae kapewa muda wa kusikilizwa redion,Nashangaa sana hawa clouds fm kumpa ajira huyu dogo asiye na kipaji.huyu dogo anatangaza choice fm kuanzia 12:00 -01:00 mchana,ila kutangaza hajui kabisa.kwanza anazingua sana na anaiga sana ,anaongea kama Adamu mchomvu na hata zile joks zake ni kama za Mchomvu tu.kiukweli hajui hata kutangaza kabisa,na ndio maana tunasema choice fm imepoteza mvuto,sio ile ya kina Tandy,Vannesa,Chriss,yaani redio imekuwa ya hovyo na hata watangazaji nao wamekuwa ni wa hovyo
Hahaha .. AiseeTimu wema wanacheka mpaka basi,ila siku wakisikia wema na idilisa wamegombana basi jamaa hata akiwachekesha hawacheki.