Idris sultani si mtangazaji, bali ni mchekeshaji wa kuiga

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Nashangaa sana hawa clouds fm kumpa ajira huyu dogo asiye na kipaji.huyu dogo anatangaza choice fm kuanzia 12:00 -01:00 mchana,ila kutangaza hajui kabisa.kwanza anazingua sana na anaiga sana ,anaongea kama Adamu mchomvu na hata zile joks zake ni kama za Mchomvu tu.kiukweli hajui hata kutangaza kabisa,na ndio maana tunasema choice fm imepoteza mvuto,sio ile ya kina Tandy,Vannesa,Chriss,yaani redio imekuwa ya hovyo na hata watangazaji nao wamekuwa ni wa hovyo
 
ndo mana wamempa muda 6-7 mchana ndo atangaze
 
kwangu hii taarifa ni km Xclusive,kumbe nae kapewa muda wa kusikilizwa redion,
 
Back
Top Bottom