Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kiboko hasa Mwanakwetu na mambo yake mengi yapo kinyume nyume.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Idumu idumu jf kiboko
insta babe lazima ntakuita 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiletwa huo uzi insta babe usisahau kuniita kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo najua umepata mkongwe kumbe mtu analingana na mdogo wako wa mwishoHahahaaa. Kuna mmoja nilimsoma juzi id yake ina miaka zaidi ya mitano ila akasema alijiunga humu akiwa na miaka 16 sijui 17 nikasema Doooh.
Jf ni zaidi ya tuijuavyo. [emoji23][emoji23]
Nipo mdogo wangu. Habari ya masiku?Upo dadaangu mzuri?
Uko sahihi kabisa dadaMie nadhani kama nawaza kinyume chako mdogo wangu ujue kuna watu id zao za mwaka jana au mwaka huu ila ni watu wanaojitambua kuliko hao wenye id za kale.
Kuna wengine wana id za kitambo ila vimyaka vyao waeza kaa chini ucheke kutwa nzima yaani ni vitoto tena visivyojitambua kabisaaa.
Kabisaaa maana kila leo yanakuja mapya mapya. [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Kabisaaaaaaa nadataa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmh jiran
sema haya mambo ndio yanafanya JF iwe tofauti na mitandao mingine ujue ...maana ingekuwa watu wanatumia ID za ukweli ingekuwa haina tofauti na facebook au insta [emoji23]
Tena kiboko hasa Mwanakwetu na mambo yake mengi yapo kinyume nyume.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ntawajuaje sasa nawewe umesema wanapatikana majukwaa ya biasharaWatakuja tu hapaa utawaonaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja nijeTwende pm tukajadili kilimo cha matikitimaji mamaa