ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Hahahaaa. Kuna mmoja nilimsoma juzi id yake ina miaka zaidi ya mitano ila akasema alijiunga humu akiwa na miaka 16 sijui 17 nikasema Doooh.

Jf ni zaidi ya tuijuavyo. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo najua umepata mkongwe kumbe mtu analingana na mdogo wako wa mwisho
 
Mie nadhani kama nawaza kinyume chako mdogo wangu ujue kuna watu id zao za mwaka jana au mwaka huu ila ni watu wanaojitambua kuliko hao wenye id za kale.

Kuna wengine wana id za kitambo ila vimyaka vyao waeza kaa chini ucheke kutwa nzima yaani ni vitoto tena visivyojitambua kabisaaa.
Uko sahihi kabisa dada
 
Eti na mie ID yangu nnafaa kuitwa mkongwe au!? Embu kabisaidie kuchungulia. Ili nijue mapema kama nnafaa kukuzamia DM[emoji38][emoji38]
Unafaaaaa sana tu mkongweee
 
Back
Top Bottom