Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Mie pia nimefurahi maana nilikuhamOoh. Hapo sawa.
Kuwa busy ndio poa hiyo. Mie niko fresh kabisa mdogo wangu. Nimefurahi kukuona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie pia nimefurahi maana nilikuhamOoh. Hapo sawa.
Kuwa busy ndio poa hiyo. Mie niko fresh kabisa mdogo wangu. Nimefurahi kukuona.
Nimekuta foleni hapa jiranDaah ,hauji tu?
Bado napenda kuishi mieUogaWakoUtakuponza!
Hahahaaaa. Tucheke tu mtani hatuna jinsi.Mtani mm humu huwa nacheka muda wote ,kuna furahisha sana [emoji23] [emoji23] ,ndio huwa siaminigi watu na mambo yao, kuna sehemu nimeona umechangia vzr sana
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hahahaaaa. Kumbe eeee.Hahaha, mie hapa sio Mkongwe [emoji1] [emoji1] ,wakongwe wapo
Haya uwe na wakati mzuri mdogo wangu. Be blessed.Mie pia nimefurahi maana nilikuham
TupacStyle!KamaUliiskizaIleNgomaYakeMEANDMYGIRLFRIENDThenMleNdaniMwanzoMwishoAnazungumziGun
Nimeona mtani nikatia dole gumba,mie humu mtani huwa nakuja kuzuga tu ,kufurahi furahi ,nyuzi km hzHahahaaaa. Tucheke tu mtani hatuna jinsi.
Nashukuru kwa kuliona hilo zuri aliloandika Mtani wako kwani ameandika anachokijua yeye na kukiona humu siku zote.
Ila huyo mtoto kwenye avatar ni bonge la pinii,daaah !Utakavyooona wewe sawa unaweza fanya remix
Thanks sisHaya uwe na wakati mzuri mdogo wangu. Be blessed.
Hivi huwa mnatumia Sarufi gani kusema "....kama yote".Umetema MADINI kama YOTE mpaka nikashindwa kuongezea NYAMA.
Mi nimetoka patupu mkuunilifikiri npo peke yangu kumbe mawazo yetu yanafanana
Hahaha, Nashukuru mtani [emoji23] [emoji23] ,kumbe nami Mkongwe nawe pia Mkongwe tena wa busara na hekimaHahahaaaa. Kumbe eeee.
Ila mie kwangu weye ni Mkongwe Mtani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi wewe nakufata huko huko kitaa.😀😀😀 na wakt hawa hawa madem wanaoshoboka humu wapo kitaan na wanapigwa free P😉
Best angu mzuriTena kiboko hasa Mwanakwetu na mambo yake mengi yapo kinyume nyume.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia wana soko sana siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi wewe nakufata huko huko kitaa.