ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Mtani mm humu huwa nacheka muda wote ,kuna furahisha sana [emoji23] [emoji23] ,ndio huwa siaminigi watu na mambo yao, kuna sehemu nimeona umechangia vzr sana

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hahahaaaa. Tucheke tu mtani hatuna jinsi.

Nashukuru kwa kuliona hilo zuri aliloandika Mtani wako kwani ameandika anachokijua yeye na kukiona humu siku zote.
 
Dah...ama kweli...twende mbele...turudi nyuma...Safari hii Kalumanzira kapata mke...maana si kwa nyuzi hizi ....angetumegea hiyo siri...labda tutaanzishiwa nyuzi[emoji41]
 
Hahahaaaa. Tucheke tu mtani hatuna jinsi.

Nashukuru kwa kuliona hilo zuri aliloandika Mtani wako kwani ameandika anachokijua yeye na kukiona humu siku zote.
Nimeona mtani nikatia dole gumba,mie humu mtani huwa nakuja kuzuga tu ,kufurahi furahi ,nyuzi km hz

Ila mtani nasikia kuna MTU anataka kubeba mabegi yake kwenye mambo yetu yal
 
Back
Top Bottom