ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Sawa mkuu nimekuelewa ubarikiwe sana
Tangu nijiunge humu jf,hili ni swali la tatu zuri kuwahi kuulizwa.

Jibu :

Nimeamini kama wewe ni mtoto wa kike au jinsi KE. Kupitia wanao kufahamu.

Ama kuhusu jema au mema yako mengi sana bibie,hata hili la kinyume na mkuu kwangu mimi ni jema pia.
 
Hawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.

Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew

Naona kuna wakaka wanahangaika kujipendekeza kwa threads kibao za kujibebisha kwa mabebezi [emoji57][emoji57][emoji57] ili mpendwe na mjibiwe PM zenuu mxeeew mnajidanganya.

Habari ya mujini ni I'd kongwee tena wala hazipo chitchat wala MMU wapo majukwaa ya biashara huko mtu anaulizia jinsi ya kuanzisha kampuni au mradi wa kufuga kuku eeeh utaachaje kujibu PM yakee [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]

Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh


Ukija kwangu unalike na kujipendekeza usizan nitakufeeel walaa unajidanganya mabebez wanaopenda hivyooo nawaambia hivi mnaingizwaa chakaaaaaa.
Kwanza mkae mkijua mchawi pesaaaaaaaaaaaaa.


Acheni kupoteza muda kwa kujibebisha kwa wabebez I'd kongwe zinawacheka kihutuuuu maana wanafauduuu kimyakimyaaaa.

Mke wa kalumanzila hapaaaa Demiss.
Duuuh umeandika Kama vile uko na hiyo kampuni inayo taka kufunguliwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom