Bora ulivyoweka bayana aisee,hapa nilikuwa nimefuka kinoma noma. Yaani nikawa nairudia rudia hiyo comment yako sielewi yaani.Sio wewe mwaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ulivyoweka bayana aisee,hapa nilikuwa nimefuka kinoma noma. Yaani nikawa nairudia rudia hiyo comment yako sielewi yaani.Sio wewe mwaya
Kabisa bahati haikua yao JanaNiliiona ile game aiseeee Mtani.
Ila naeza sema haikuwa bahati yao.
n
imekuja kwako pak0 locked
Nakufikiria kuhusu ombi lako la msamaha !Hapana jamani nisamehe sicheki tena
we jamaa ni V.I.PLakini JF imeanza 2007[emoji41]
Nakufikiria kuhusu ombi lako la msamaha !
Doooh,unazidi kunitibua tena. Huwa sipendi mtoto wa kike aniite mkuu.Sawa mkuu
Bila shaka mleta mada ana id zaidi ya moja, yeye wa 2017, 4th May alafu anawachamba members ambao sio chini ya 2015.sawa mkongwe tumekusikia🙁
basi ...nitakupata tu...Huko shoga sifunguagi ila sawa bwana unavyonifanyia
Labda anatumia simu janja yenye bando, so anaingia online kila anapohitaji,Alafu mleta uzi, una kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kushinda humu jf? Wewe ni mama wa nyumbani? Hata mama wa nyumbani hawezi shinda humu 24/7. Kila la kheri na kazi yako.
Eiiish lipi jema kwako halafu unaamini vipi mm mtoto wa kikeDoooh,unazidi kunitibua tena. Huwa sipendi mtoto wa kike aniite mkuu.
basi ...nitakupata tu...
Tangu nijiunge humu jf,hili ni swali la tatu zuri kuwahi kuulizwa.Eiiish lipi jema kwako halafu unaamini vipi mm mtoto wa kike
Tangu nijiunge humu jf,hili ni swali la tatu zuri kuwahi kuulizwa.
Jibu :
Nimeamini kama wewe ni mtoto wa kike au jinsi KE. Kupitia wanao kufahamu.
Ama kuhusu jema au mema yako mengi sana bibie,hata hili la kinyume na mkuu kwangu mimi ni jema pia.
Duuuh umeandika Kama vile uko na hiyo kampuni inayo taka kufunguliwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.
Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew
Naona kuna wakaka wanahangaika kujipendekeza kwa threads kibao za kujibebisha kwa mabebezi [emoji57][emoji57][emoji57] ili mpendwe na mjibiwe PM zenuu mxeeew mnajidanganya.
Habari ya mujini ni I'd kongwee tena wala hazipo chitchat wala MMU wapo majukwaa ya biashara huko mtu anaulizia jinsi ya kuanzisha kampuni au mradi wa kufuga kuku eeeh utaachaje kujibu PM yakee [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh
Ukija kwangu unalike na kujipendekeza usizan nitakufeeel walaa unajidanganya mabebez wanaopenda hivyooo nawaambia hivi mnaingizwaa chakaaaaaa.
Kwanza mkae mkijua mchawi pesaaaaaaaaaaaaa.
Acheni kupoteza muda kwa kujibebisha kwa wabebez I'd kongwe zinawacheka kihutuuuu maana wanafauduuu kimyakimyaaaa.
Mke wa kalumanzila hapaaaa Demiss.
Daaah !Sawa mkuu nimekuelewa ubarikiwe sana
Daah,bora aisee ulivyo tuona na sisi.Wale wa 2015 na kuendelea njooni kwangu mwaya