Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mimi nakula Balimi lager siku za weekend kama leo.
Siwezi kupoteza muda kushabia Man U au Arsenal.
Taifa letu lina changamoto nyingi. Tozo zimekuwa kama mwiba wa Gogogo kwa watanzania. Wanaumia kila kona. Nawafuata na kuwauliza na kila mtanzania analalamika. Anaona sasa ni kumizwa na mwiba wa GoGogo kwenye koromeo.
Nikiwa baa nakula Balimi za baridi maana hizi huwa zinakaa kichwani mpaka keaho yake. Nahitaji kusinzia ili niondoe msongo wa mawazo.
Idu... Mzalendo wa kitanzania nikiwa Igunga.