Umekuwa wise wapi?Sema ume kuwa More currupt 🤸Mimi nakula Balimi lager siku za weekend kama leo.
Siwezi kupoteza muda kushabia Man U au Arsenal.
Taifa letu lina changamoto nyingi. Tozo zimekuwa kama mwiba wa Gogogo kwa watanzania. Wanaumia kila kona. Nawafuata na kuwauliza na kila mtanzania analalamika. Anaona sasa ni kumizwa na mwiba wa GoGogo kwenye koromeo.
Nikiwa baa nakula Balimi za baridi maana hizi huwa zinakaa kichwani mpaka keaho yake. Nahitaji kusinzia ili niondoe msongo wa mawazo.
Idu... Mzalendo wa kitanzania nikiwa Igunga.
PointlessWakati wa Magu, hukukosoa chochote, una rekodi humu za kusifia kila linalofannywa na watawala (CCM) kaa kwa kutulia, hii ni zamu ya watoto wa mjini,
Kama huwezi hamia Burundi,
Niko Bujumbura naenjoy hakuna to tozo wala uzushi wa Mr Madelu,
No body cares mateMimi nakula Balimi lager siku za weekend kama leo.
Siwezi kupoteza muda kushabia Man U au Arsenal.
Taifa letu lina changamoto nyingi. Tozo zimekuwa kama mwiba wa Gogogo kwa watanzania. Wanaumia kila kona. Nawafuata na kuwauliza na kila mtanzania analalamika. Anaona sasa ni kumizwa na mwiba wa GoGogo kwenye koromeo.
Nikiwa baa nakula Balimi za baridi maana hizi huwa zinakaa kichwani mpaka keaho yake. Nahitaji kusinzia ili niondoe msongo wa mawazo.
Idu... Mzalendo wa kitanzania nikiwa Igunga.
Sina matatizo ndio maana sijajisifia mwenyewe 🤔Una matatizo
Huu uzi umeuandika balimi ilipokolea lakini au sio?Una matatizo
Hayo maendeleo yanafanyikia vijiji vya nchi gani?Bila Shaka bado pombe haijaisha kichwani maana ikiisha na ukatoka nje na kuongea maneno hayo kwa watanzania watakushangaa sana, kwa kuwa kwa Sasa watanzania wamejionea mafanikio makubwa yaliyopatikana kutokana na uongozi shupavu wa mh Rais wetu,
Wameona namna tozo zilivyosaidia kujenga vituo vya Afya 234 nchini, wameona kazi kubwa ilivyofanyika katika ujenzi wa shule, usambazaji wa maji na umeme Hadi vijijini na kuibua fursa mbalimbali, watanzania wameona namna mh Rais wetu mpendwa alivyolibeba jukumu la kuhakikisha watoto wa wanyonge wanapata Elimu bila shida kwa kuamua kugharamia na kutoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita,
Halafu Ni aibu mtu unasema upo kinywa pombe halafu unataka tuamini upotoshaji wako kuwa Ni ws kweli, yaani ulewe huko halafu uje kusingizia watanzania hapa,
Maendeleo yanaanza na mwananchi mwenyewe, Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe, mnaweza mkaanza kwa kufanya hivyo na serikali ikaja kumaliza hatua zote zinazokuwa zimebakia kukamilika, maana zahanati haitwi zahanati kwa kusimamisha jengo, Tambua kuwa serikali imeshafika mlangoni pako na kila mahali, huku niliko tunaona namna serikali yetu inavyoendelea kufanya kazi katika miradi mbalimbaliHayo maendeleo yanafanyikia vijiji vya nchi gani?
Mtaani kwangu zahanati tumejenga wenyewe.
Barabara tumechangishana na kuweka vifusi na kulipia pesa ya kuweka mafuta kqenye greda la kusawazisha barabara ya mtaa?
Niambieni hayo maendeleo yanafanyikia wapi?
Hivi kwako ikiwa una kazi na ukamlipa fundi pesa ndefu utahitaji tena kumsaidia kazi?.Maendeleo yanaanza na mwananchi mwenyewe, Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe, mnaweza mkaanza kwa kufanya hivyo na serikali ikaja kumaliza hatua zote zinazokuwa zimebakia kukamilika, maana zahanati haitwi zahanati kwa kusimamisha jengo, Tambua kuwa serikali imeshafika mlangoni pako na kila mahali, huku niliko tunaona namna serikali yetu inavyoendelea kufanya kazi katika miradi mbalimbali
Nyie popomaz wa zidumu fikra za mwenyekiti hamjui mlifanyalo, maslahi ya viongozi wa chama chenu dhalimu mmesadikishwa kwamba ndio maslahi ya taifaMimi nakula Balimi lager siku za weekend kama leo.
Siwezi kupoteza muda kushabia Man U au Arsenal.
Taifa letu lina changamoto nyingi. Tozo zimekuwa kama mwiba wa Gogogo kwa watanzania. Wanaumia kila kona. Nawafuata na kuwauliza na kila mtanzania analalamika. Anaona sasa ni kumizwa na mwiba wa GoGogo kwenye koromeo.
Nikiwa baa nakula Balimi za baridi maana hizi huwa zinakaa kichwani mpaka keaho yake. Nahitaji kusinzia ili niondoe msongo wa mawazo.
Idu... Mzalendo wa kitanzania nikiwa Igunga.
Fuatilia ufafanuzi wa serikali juu ya faida za Tozo zetu katika kipindi kifupi tangia kuanza kwake, mfano mpaka Sasa kumejengwa vituo vya Afya takribani 234 hapa nchini, Tanzania Ni imara na salama Sana katika mikono ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu HassaniHivi kwako ikiwa una kazi na ukamlipa fundi pesa ndefu utahitaji tena kumsaidia kazi?.
Tozo na kodi sio vibaya kulipa je zinafanya kazi gani?
Zinakusanywa kiasi gani?
Hapo ndipo tatizo lilipo
Bila Shaka bado pombe haijaisha kichwani maana ikiisha na ukatoka nje na kuongea maneno hayo kwa watanzania watakushangaa sana, kwa kuwa kwa Sasa watanzania wamejionea mafanikio makubwa yaliyopatikana kutokana na uongozi shupavu wa mh Rais wetu,