Idugunde: Serikali ya mama Samia imekataliwa na wananchi. Inaharufu za kipigaji na unyonyaji wananchi.

Waziri mmoja kajipa madaraka kisheria kusameheme walipa kodi wakubwa hii ni kwa mara ya kwanza toka Nchi ipate uhuru..waziri kutoa msamaha na tupo kimya kaamua kuweka kila aina ya Tozo...
 
Nchini vituko Sana Waziri unaenda kukagua upigaji wa chumba cha milioni 11 wakati upo kwenye v8 la Milioni 450 plus mafuta ya msafara wa magari yote si chini ya milioni 6.
SAsa na mbadilifu hapo.
Mwizi kumakata kibaka
Ulitaka atembee kwa miguu?
 
Wananchi wanalalamika juu ya hali ngumu ya maisha. Maisha yamekuwa ghali huku nafaka na vyakula vikiwa ghali na maisha kuwa magumu kwa wananchi.

Bado wanakamuliwa tozo za kila namna na hapa ndipo ugumu wa maisha unazidi maradufu

Rais Samia amebariki haya yote kwa ajili ya manufaa ya kisiasa kwa yeye na kundi lake.

Mioyoni mwa Watanzania wengi hawamkubali wala kumuelewa rais Samia na serikali yake. Wamemkataa kabisa. Wamemkataaa japokuwa bado anawatawala.
Hahahaahhaa unataka ukazikwe chattle
 
Acha upotoshaji wananchi tunamkubali sana Rais wetu na tozo izo ni kwaajili ya maendeleo
 
Tozo sio kwaajili ya magari tozo ni kwa maendeleo na kama umeona kupitia tozo vtuo vya afya 234 vimekamilika tuache kulalamikia kitu
Nyabukika,
Hivyo vituo ndio vilifanya Waziri DOMOTOZO kuongeza tozo?

....wangeweza kuokoa kama Trillioni kila mwaka kama Hayo magari yao yangenunuliwa kwa Awamu-5yrs badala ya kila mwaka kama ninavyosikia.

Sidhani kama kuna lalama tu.
Mleta mada anadai Ni-maoni ya Wananchi,soma kichwa cha uzi. Inavyosomeka, Wananchi wanumia kwa namna.
 
Wananchi wanalalamika juu ya hali ngumu ya maisha. Maisha yamekuwa ghali huku nafaka na vyakula vikiwa ghali na maisha kuwa magumu kwa wananchi.

Bado wanakamuliwa tozo za kila namna na hapa ndipo ugumu wa maisha unazidi maradufu

Rais Samia amebariki haya yote kwa ajili ya manufaa ya kisiasa kwa yeye na kundi lake.

Mioyoni mwa Watanzania wengi hawamkubali wala kumuelewa rais Samia na serikali yake. Wamemkataa kabisa. Wamemkataaa japokuwa bado anawatawala.
Hata ukimkataa kwenye Moyo na akaendelea kukutawala itakusaidia nini? 😆😆
 
Ndio Ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi zetu.
V8 moja ni SAwa na trekta 8 mpya
Truth is ili mambo yaende kusave muda huwez kwenda na miguu. Ndio maana magari yakagunduliwa.
Aliye juu hawez kuwa na matumiz sawa na aliye chini
 
Wananchi wanalalamika juu ya hali ngumu ya maisha. Maisha yamekuwa ghali huku nafaka na vyakula vikiwa ghali na maisha kuwa magumu kwa wananchi.

Bado wanakamuliwa tozo za kila namna na hapa ndipo ugumu wa maisha unazidi maradufu

Rais Samia amebariki haya yote kwa ajili ya manufaa ya kisiasa kwa yeye na kundi lake.

Mioyoni mwa Watanzania wengi hawamkubali wala kumuelewa rais Samia na serikali yake. Wamemkataa kabisa. Wamemkataaa japokuwa bado anawatawala.
Wananchi wenyewe ni mkeo na wanao ndiyo wamemkataa. Haya tuambie sasa wanamtaka nani?
 
Hongera KWA maoni !

Ni kweli Baba akiondoka ghafula familia lazima iyumbe!sishangazwi na maoni YAKO!!

Tumshauri,tumvumilie na tumpende katika kipindi hiki kigumu anachopitia katika kuiongoza familia yetu!
 
Truth is ili mambo yaende kusave muda huwez kwenda na miguu. Ndio maana magari yakagunduliwa.
Aliye juu hawez kuwa na matumiz sawa na aliye chini
Waache unafiki wa kuwachukulia hatua watu wa chini Ili kusaka kiki huku majizi makuu wakiyaogopa
 
Back
Top Bottom