Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Ugonjwa aliubaini Makengeza kitambo. Kusinyaa kwa masikio na kukua kwa mdomo.Hapo Ikulu huwenda kuna mdudu wa kuwaziba masikio viongozi wetu wasisikie wala kuona machozi na mateso ya wananchi.
Ulitaka atembee kwa miguu?Nchini vituko Sana Waziri unaenda kukagua upigaji wa chumba cha milioni 11 wakati upo kwenye v8 la Milioni 450 plus mafuta ya msafara wa magari yote si chini ya milioni 6.
SAsa na mbadilifu hapo.
Mwizi kumakata kibaka
Hahahaahhaa unataka ukazikwe chattleWananchi wanalalamika juu ya hali ngumu ya maisha. Maisha yamekuwa ghali huku nafaka na vyakula vikiwa ghali na maisha kuwa magumu kwa wananchi.
Bado wanakamuliwa tozo za kila namna na hapa ndipo ugumu wa maisha unazidi maradufu
Rais Samia amebariki haya yote kwa ajili ya manufaa ya kisiasa kwa yeye na kundi lake.
Mioyoni mwa Watanzania wengi hawamkubali wala kumuelewa rais Samia na serikali yake. Wamemkataa kabisa. Wamemkataaa japokuwa bado anawatawala.
Ndio Ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi zetu.Ulitaka atembee kwa miguu?
Acha upotoshaji wananchi tunamkubali sana Rais wetu na tozo izo ni kwaajili ya maendeleoWananchi wanalalamika juu ya hali ngumu ya maisha. Maisha yamekuwa ghali huku nafaka na vyakula vikiwa ghali na maisha kuwa magumu kwa wananchi.
Bado wanakamuliwa tozo za kila namna na hapa ndipo ugumu wa maisha unazidi maradufu
Rais Samia amebariki haya yote kwa ajili ya manufaa ya kisiasa kwa yeye na kundi lake.
Mioyoni mwa Watanzania wengi hawamkubali wala kumuelewa rais Samia na serikali yake. Wamemkataa kabisa. Wamemkataaa japokuwa bado anawatawala.
Nyabukika,Tozo sio kwaajili ya magari tozo ni kwa maendeleo na kama umeona kupitia tozo vtuo vya afya 234 vimekamilika tuache kulalamikia kitu
Hata ukimkataa kwenye Moyo na akaendelea kukutawala itakusaidia nini? 😆😆Wananchi wanalalamika juu ya hali ngumu ya maisha. Maisha yamekuwa ghali huku nafaka na vyakula vikiwa ghali na maisha kuwa magumu kwa wananchi.
Bado wanakamuliwa tozo za kila namna na hapa ndipo ugumu wa maisha unazidi maradufu
Rais Samia amebariki haya yote kwa ajili ya manufaa ya kisiasa kwa yeye na kundi lake.
Mioyoni mwa Watanzania wengi hawamkubali wala kumuelewa rais Samia na serikali yake. Wamemkataa kabisa. Wamemkataaa japokuwa bado anawatawala.
Hata iwe fool au fine ndio Rais huyo anakutawala na huna cha kufanya 😁😁Fool
Truth is ili mambo yaende kusave muda huwez kwenda na miguu. Ndio maana magari yakagunduliwa.Ndio Ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi zetu.
V8 moja ni SAwa na trekta 8 mpya
Wananchi wenyewe ni mkeo na wanao ndiyo wamemkataa. Haya tuambie sasa wanamtaka nani?Wananchi wanalalamika juu ya hali ngumu ya maisha. Maisha yamekuwa ghali huku nafaka na vyakula vikiwa ghali na maisha kuwa magumu kwa wananchi.
Bado wanakamuliwa tozo za kila namna na hapa ndipo ugumu wa maisha unazidi maradufu
Rais Samia amebariki haya yote kwa ajili ya manufaa ya kisiasa kwa yeye na kundi lake.
Mioyoni mwa Watanzania wengi hawamkubali wala kumuelewa rais Samia na serikali yake. Wamemkataa kabisa. Wamemkataaa japokuwa bado anawatawala.
Mama yako nauhakika ataishia 2025.Hata ukimkataa kwenye Moyo na akaendelea kukutawala itakusaidia nini? [emoji38][emoji38]
Mda ukifika utapata jibu,huo uhakika huna.Mama yako nauhakika ataishia 2025.
Waache unafiki wa kuwachukulia hatua watu wa chini Ili kusaka kiki huku majizi makuu wakiyaogopaTruth is ili mambo yaende kusave muda huwez kwenda na miguu. Ndio maana magari yakagunduliwa.
Aliye juu hawez kuwa na matumiz sawa na aliye chini
Jadili mada we nyani shoga hayati anahusika nini hapa we pimbi.Si mlishabikia yule dhalimu kuiba uchaguzi wote 2020 na kuwaweka watu wake? Sasa tulieni dawa iwaingie vizuri mbwa nyie
Na wewe unatumia matako kula chakula endelea kuongeaWe pimbi unayetumia Mak kufikiri kaa kimya