Wapi nimeandika sitaki kujua?
I told you, you just cannot wrap your head around what I write here, and therein lies the first problem.
1;Kama unataka kujua hii ina maana kuwa unataka kuwa mjingaKujua ni nyumba ya ujinga.
Wanazuoni:
Kuna sababu kuu ambayo ilimfanya Mwenyezi Mungu kusema kuwa, "Mpumbavuh" kasema kuwa hakuna Mungu moyoni mwake (Ushaidi upo ndani ya Zaburi ya Daudi). Sasa basi leo tujiratibu na maneno haya mawili: Tofauti baina ya Mpumbavuh na Mjinga.
Wanazuoni, elewa kuwa kusoma kwingi sio kuufuta ujinga kama wanavyo dai wapinga Mungu, bali ni kuupunguza ujinga ulio kuwa aufahamu. Wanadunia wote wana ujinga wa jambo moja au kadhaa, haijalishi elimu yako ni ya wapi au imani yako ni ipi. Wapenzi wa dini kuwa na ujinga wa jambo si kosa, hata Profesa wa Fizikia wa Marekani anaweza asijue namna ya kupika Ugali lakini Binti wa kutoka Kijiji cha Nangurukuru anaweza kuwa hodari wa jambo hilo kumshinda Profesa. Hilo si kosa wala dhanbi.
Lakini "mpumbavuh" upumbavuh ni ile hali ya binadamu kufanya jambo isivyotakiwa huku akiwa na uelewa na au ufahamu wa namna ya kufanya inavyotakiwa na au huna ueleo kuwa ufahamu wako si ukweli/kweli, na kungangania kuwa unacho elewa ndio sahihi, kisa, eti, mimi nimefuta ujinga zaidi ya yule mpenzi wa dini. Huo ndio upumbavuh wa Non Theists. Kila mmoja wetu ana ujinga wake. Kuwa na ujinga wa jambo fulani ni kutoelewa jambo hilo. Ni nani anayeelewa kila jambo hapa duniani zaidi ya Yesu Kristo? Lakini Non-theists wao wanafikiri kuwa wanaelewa kila kitu huku wakifahamu kuwa wao bado hawana majibu ya kivipi jiwe litengeneze maisha au life.
Allahamdullilah, wanadunia tumejaliwa akili ili tuweze kufikiri na kuongeza ufahamu kwa kukubali kujifunza. Inakuwaje basi mwanadamu anapoacha kufikiri na kudai kuwa eti Fulani hayupo au hajawai kuwepo kwasababu sijawai kumuona?
Mwenyezi Mungu Subhanahu wa Taala anasema kuwa, Mpumbavuh kasema moyoni mwake kuwa Mungu hayupo. Hili ni jambo lakujiuliza, kwanini Mungu awaite wale Wapumbavuh.
Kwa sababu hakuna kujua hata kwamba hakuna kujua.
Hakuna utafiti usio na challenge question/ premise. My challenge to you is that premise. Mungu hayupo, kama yupo thibitisha.
Hujaweza mpaka sasa kuthibitisha.
The convergence from ignorance is worthwhile even as perfect knowledge may remain illusive due to the fact that the mere act of seeking perfect knowledge interferes with the perfect state of that knowledge.
I doubt you can wrap your head around that.
Wrap your head around the above first and then maybe you could aspire to dream to think of shining the boots of those who understand me.
Taratibu tu tutamuona nani hapa ni ignorant .....
Hii hapa chini ni kauli yako wewe mwenyewe
1;Kama unataka kujua hii ina maana kuwa unataka kuwa mjinga
2;Kama hutaki kujua swali langu hapo juu itakuwa bado unahitajika ulijibu
Baada ya hili utaniambia ni nani mwenye uzuzu linapokuja suala la kuelewa!
Wewe thibitisha Mungu hayupo...otherwise yupo.
Sio kila usichokiona hakipo
Wewe thibitisha Mungu hayupo...otherwise yupo.
Sio kila usichokiona hakipo
Safi sana Mkuu.
Nategemea umeeleweka hapo. Naona kuna Mmasai kaingia disco hapo juu.
Unafahamu maana ya "kujua ni nyumba ya ujinga"?
Umesha consider kwamba naweza kuwa nataka kujua ila siwezi kujua, kwa sababu kujua ni the Sel;assian illusion, to be pursued, but never attained?
Kitu gani unachojua wewe?
Huyo jamaa anashangaza sana
Hivi kweli utasemaje kitu hakipo bila ushahidi?
Kama anajua kabisa hawezi kuleta ushahidi wa kisichokuwepo asingesema alichosema
Lakini kama kweli una uhakika hakipo utapotezaje muda hapa?
Ni sawa na uende airport kusubiria meli wakati unajua kabisa hilo haliwezekani kisa tu kuna mtu alikuambia kuwa meli inaweza kutia nanga airport
Ajabu sana hii .....
Kama una uhakika meli haiwezi kutia nanga airport huwezi kupoteza muda wako kwenda kuisubiri huko
Kama una uhakika Mungu hayupo huwezi kupoteza muda wako hapa,utakuwa huna tofauti na yule ambae anakwenda airport kuisubiri meli!
hapana. hakueleweka. and i did have the Isaya scripture in mind.
my question is, since God is beyond logic, dos it mean he violates logic?
fundisho lako ulilolitoa hapo juu kuhusu logic, litabaki kuwa fundisho LAKO tu.
you do realise that if God does not follow logic then the whole idea of God is useless? That and we as humans will not be able to know anything about his existence and nature?
Ishmael Do you accept reasoning or do you frown upon reasoning?
Kwako wewe yupo au hayupo?Kama mungu hayupo, hawezi kuthibitishika kwamba hayupo.
Naomba ushahidi wa hili tafadhaliKwa sababu visivyopo havithibitishiki kwamba havipo.
Umetumia assumption kuwa havipo halafu unahitimisha kwa kutumia assumptionKwa sababu havipo ili kuthibitishika.
Sawa ....Ni kweli, sio kila nisichokiona hakipo.
Sawa na hayo yote yanahitaji ushaidiLakini pia sio kila nisichokiona kipo.
Lakini kusema haipo ni kujiwekea kitanzi kwakuwa utahitajika utoe ushahidiSioni pembetatu duara katika Euclidean geometry. Hilo halimaanishi kwamba kuna pembetatu duara katika Euclidean geometry, just because siioni.
Hili linaweza kuwa sawa,lakini hapa anaetaa kumshawishi mwingine ni nani?Ili kunishawishi kwamba pembetatu duara ipo, itabidi unionyeshe uthibitisho kwamba pembetatu duara ipo.
Hakuna anaetaka kukushawishi hapa,wewe ndie unataka utushawishi kuwa hayupo bila kutupa ushahidiIli kunishawishi kwamba mungu yupo, itabidi unionyeshe uthibitisho kwamba mungu yupo.
Naomba ushahidi wa pembe tatu duara kuwa haipoAsije kuwa ni wazo tu, kitu cha kufikirika kama "pembetatu duara" lakini kiuhalisi hayupo.
Unawezaje kututhibitishia hayupo?Unawezaje kuthibitisha kwamba huyu mungu asiyeonekana unayesema yupo yupo kweli na si dhana tu ya kufikirika kama "pembetatu duara" ?
Nategemea unaisoma sana Biblia. SASA Ili kupunguza shurbah, tuletee aya ambayo inasema Mungu kaumba Kifo kwa Binadamu.
MFANO: Kama Adam and Eve wasinge kula (1) either fruit of life (2) or fruit of knowledge of good and evil. Hivi Adam angekuwa hai mpaka hii leo au angekuwa amekufa?
Jibu kwa ya please.
hapana. hakueleweka. and i did have the Isaya scripture in mind.
my question is, since God is beyond logic, dos it mean he violates logic?
fundisho lako ulilolitoa hapo juu kuhusu logic, litabaki kuwa fundisho LAKO tu.
you do realise that if God does not follow logic then the whole idea of God is useless? That and we as humans will not be able to know anything about his existence and nature?
Habari ya kuwapo kwa mungu wakati hayupo inaweza kuwa sumu hatari kama habari ya kuwapo kwa dawa ya kutibu UKIMWI wakati dawa haipo.
Kuna wengine watakubali kwamba dawa ipo na kuingia mkenge.
Ni wajibu wa wanaoona habari ina mushkeli kuihoji.
Ukweli kwamba dawa ya kutibu UKIMWI haipo na inasemwa kwamba ipo haupunguzi haja ya kuhoji habari hii ya dawa ya UKIMWI kuwapo.
Ukweli huu unaongeza haja ya kuhoji.
Kama kweli mungu hayupo, kunakuwa na haja zaidi, si pungufu, ya kuhoji habari zinazosema kwamba mungu yupo.
Watu wanaishi maisha yao yote wakifikiri mungu yupo, kama hayupo it will prove to be such a waste.
Ni hatari kama mtu anayefanya ngono zembe huku akitumaini kwamba dawa ya UKIMWI ipo.
Ni hatari kwa sababu watu watategemea mungu afanye yale ambayo wanatakiwa kufanya, kwa kuomba mungu, mungu ambaye hayupo.
Halafu masikini wakibakia masikini kwa sababu wamekalia kuomba mungu badala ya kufanya kazi, kwa sababu hii habari ya kuwapo kwa mungu haiulizwi ipasavyo, wengine ambao tumeona tofauti hatutaki akili zetu zitusute kwamba tuliona mushkeli ndani ya hii habari nzima ya mungu lakini hatukuuliza maswali ya muhimu kwa jamii.
The god idea can only prevail in a culture that does not embrace critical thinking and inquiry.
Kabla hata sijasoma hizo ndoto zako zingine nataka uniambie hapo nilipo bold kama una hakika napo au nawe umeanza kuingia kwenye kuamini a.k.a assumption!
this is the problem. we just never seem to grasp things the same way.
I dont understand what you people dont get.
Do you guys understand the concept of "a world where death is impossible" and "a world where its possible"?
the fact that Mungu aliwaambia that mkila mtakufa meant that the concept of death was already created!
before God created anything there was nothing. at that time, the concept of death was inexistent. God had the idea of death.
he could have created a world without the possibility for death, angeenda kuwaambia kina Adam that they would die wakila tunda, but they wouldnt b'se he didnt create that phenomenon!!!!
believe me, I dont think we are on the same page here.
this is the problem. we just never seem to grasp things the same way.
I dont understand what you people dont get.
Do you guys understand the concept of "a world where death is impossible" and "a world where its possible"?
the fact that Mungu aliwaambia that mkila mtakufa meant that the concept of death was already created!
before God created anything there was nothing. at that time, the concept of death was inexistent. God had the idea of death.
he could have created a world without the possibility for death, angeenda kuwaambia kina Adam that they would die wakila tunda, but they wouldnt b'se he didnt create that phenomenon!!!!
believe me, I dont think we are on the same page here.
Uhakika wa nini? Kwamba kudanganya watu kuna dawa ya UKIMWI wakati hakuna ni kitu kibaya?
Habari ya kuwapo kwa mungu wakati hayupo inaweza kuwa sumu hatari kama habari ya kuwapo kwa dawa ya kutibu UKIMWI wakati dawa haipo.