If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

Mimi sijakujibu, nimekuuliza swali, wewe hauwezi kunipotezea muda ndo maana sijishughurishi na wewe siku hizi, muda ulioishanipotezea unatosha.

Hujanijibu wakati umehit reply, complete with a quote?

Siwezi kukupotezea muda wakati umesema napotezea watu muda na wewe umetumia muda wako kunijibu?
 

We nawee kwaio hujaelewa nini!
 

OUR LORD AND SAVIOUR JESUS CHRIST

sasa mbona wakina free ideas na kiranga wakiondoka mnasema wamekimbia
 
Last edited by a moderator:

LOL. hopefully they missed the Avian and Mammalian part.

I do acknowledge kwamba wengi hatujasoma vitu vingi. so tunaishia kurely on mtu ambaye ana imani sawa na yetu kusongesha debate.....nimeshagundua packs humu and their leaders.

and yes, some concepts people have never heard of but wouldnt think twice about dismissing them just because its against their faith.

people make premises about their already made conclusions. its difficult to move from there.

na wewe hukunijibu why are you so convinced that there is no creator!!!!
 

In the context of an omnipotent, omnipresent, omniscient and omni benevolent creator, mainly due to the inherent contradiction posed by the prospect of such a creator creating such a deficient world as this.

The argument that complexity must be created by intelligence only begs the question that that would need the creator to necessarily be created by an even higher intelligence, ad infinitum, ad absurdum.

I move from the less complex to the more complex.

I do not accept the existence of entities that cannot be proven.

I am ready to accept the existence of god should a convincing non contradictory and logical explanation be presented, followed by a conclusive proof.

For example, if one were to tell me that god exists, but he is a narcissist prick who made us just to watch us suffer in order to satisfy his sadistic needs, that explanation, although earthly, has no inherent contradiction when juxtaposed with the observable world, and can at least be entertained for further investigation. Eventually a stumbling block would still be a proof that such a being, far and above being logically conceivable, actually exists.

But this idea of an all loving, all powerful, all present god who creates a world with such evil as this is not only unfathomable, but also it insults the intelligence of any right thinking person.
 
We ni kuku asiyekuwa na kichwa.

Ambaye hujaweza kuthibitisha kwamba kaumbwa na mungu, mpaka sasa.

Indeed kama mungu mwenye uwezo wote na upendo wote upo, ataruhusu vipi kuku asiye na kichwa awepo?

The very prospect points away from an intelligent godhead.
 
Mimi sijakujibu, nimekuuliza swali, wewe hauwezi kunipotezea muda ndo maana sijishughurishi na wewe siku hizi, muda ulioishanipotezea unatosha.
Alisha wai kujibu swali, huyo anaishi JF ndio kzi kwake. ANYWAYS,

The person will never answer you zaidi ya kupindisha swali lako na kuanzisha mabishano ya assumptions zake. Mwambie kwanini anamuogopa Ishmael mpaka kumweka kwenye ignore list yake?
 
Last edited by a moderator:
OUR LORD AND SAVIOUR JESUS CHRIST

sasa mbona wakina free ideas na kiranga wakiondoka mnasema wamekimbia
Hizo ni case mbili tofauti, wakati case ya kwanza alitaka kutupa siri za ufalme wa Mbinguni kwa hiyo kwa mtazamo wake akaona hatupo tayari ikabidi atuache tu hakutupa, Case hii ya pili kwa hao washikaji nadhani unafahamu...
 
its not about me (well it is considering its not my choice to exist). its about him. why mseme ni All-loving kisha atengeneze kifo/uwezekano wa kifo?

Hujajibu nilichokuuliza:

Kwanini unahoji ulimwengu kuwa na kifo?
 

Kujua ni nyumba ya ujinga,right?
 

Vipi tena unataka watu waingie kwenye nyumba ya ujinga?
 


Hili ndilo neno.
Kuna mtu humu hata aambiweje , apewe uthibitisho gani anarudia kusema "naomba uthibitisho , sijaona uthibitisho kuwa kweli Mungu yupo" Kisha anaona kuwa anaelewa hata vitu ambavyo wana sayansi makini wameacha kuamini .
Kuna vitabu vilifundisha Hygiene way back ! Kuna vitabu vilisema kuwa dunia ni tufe/duara wakati wanasayansi wakiamini kuwa ni horizontal ahahaaaa imeshikiliwa na tembo wa kubwa.Kuna vitabu vimetabiri matukio yaliyotokea kwa wakati.
Leo wanasayansi wakongwe wanatuambia there are new understanding regarding a lot of knowledge; Gravitational may not be as the way we know or they teach us.New understanding regarding what they call black hole.
Kuna watu hapa hatujawahi ona hata papers zao published ila ni mabingwa wakuona wao ndo founder of some theory wakati ni malimbukeni wa kujua vitu ukubwani kiasi cha kuona wengine hawajui vitu vya shule ya msingi ahahaaa
 
Umetoa wapi upuuzi huo?

Prove god exists.

Wewe si ulisema kujua ni nyumba ya ujinga?

Sasa kutaka watu wajue si unakuwa unataka watu waingie kwenye nyumba ya ujinga?

Au umesahau kama ulisema hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…