Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Cha Muhimu jiulize na ujitambue je wewe na matendo yako na jinsi uishivyo unampendeza Mungu na Wanadamu wenzio wafuata Sheria za Muumba wako sawa... je ujionavyo wafaa kwenda Mbinguni? kama unaweza kujipima ukapata jibu jipange tena kisha jiulize....! ukiona vipi basi elewa kuwa watakao ingia Mbinguni ni 144,000 tu wale watakatifu... ni rahisi kupata Jibu kuwa wewe unaweza kuwemo kwenye hiyo list endapo nawe ni Mtakatifu...
1. Kumpendezesha mwanadamu si rahisi. Kule Middle East sie hatutakiwi, sasa kama naishi kule, na kumfuata Elohim, kivipi nitaweza wapendezesha wale Wapinga Yesu ambaye ni Mungu wangu? Kumbe ndio maana Yesu alifanya mapenzi ya Baba yake na hakuwa pendezesha wale Mafarisayo ma Masadukayo.
2. Cha Muhimu na Cha kwanza ni kumpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wako. PERIOD. That is the KEY. Then the Holy Spirit will enter you na ataanza kukufundisha kuhusu UNLIMITED GOD.
3. Hivi utakatifu unaupataje? Hivi unaweza wewe kwa nguvu zako kujifanya kuwa Mtakatifu? Hili ni swali gumu ingawa ni rahisi kama tutafahamu maana ya Utakatifu na asili yake.