If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

God exists, period.

Hahaha, it's not that simple.

You can't force the existence of god by fiat.

The least you could do is attemp a proof.

Unless of course, you want to be entirely unreasonable and dwell in the realm of "make believe" existence.
 
Amekimbia nini!? Hivi unajua hata unachokizungumza? Na unajua alitaka kutupa hizo siri katika mazingira yapi?

sometimes commenters mnashindwa kuelewana. mmoja akiamua kuondoka mnasema amekimbia. tena Sangarara kasema kabisa hamna uwezo wa kupokea.

si ni mambo ya ufalme wa mbinguni?? haya basi kaambianeni siri zenu PM wachaguliwa wa bwana.
 
Last edited by a moderator:
Bottom line.

1. Ukisema mungu yupo, una wajibu wa kuthibitisha.

Sijaona uthibitisho kwamba mungu yupo bado.
1. Anaesema Mungu yupo ana wajibu wa kuthibitisha kwa nani? Maana wajibu ni kwamba unawajibika chini ya mtu/mamlaka flani.

2. Anatakiwa athibitishe ili iweje lablda. Yaani dhumuni la kuthibitisha ili huyo anaethibitishiwa afanyeje?
 
sometimes commenters mnashindwa kuelewana. mmoja akiamua kuondoka mnasema amekimbia. tena Sangarara kasema kabisa hamna uwezo wa kupokea.

si ni mambo ya ufalme wa mbinguni?? haya basi kaambianeni siri zenu PM wachaguliwa wa bwana.

Kabla hajaweza kuthibitisha uwepo wa mungu hizo nyingine zote naona hadithi tu.

Huwezi kuniambia kuhusu ufalme wa mungu nikakuelewa wakati hata kumuelezea vizuri huyo mungu na kunishawishibkwamba kweli yupo huwezi.
 
Last edited by a moderator:
Because you and the person you copy pasted from do not understand The First Law of Thermodynamics. Either that or you are just trying to fit it to your religious dogma.

The First Law of Thermodynamics talks about energy states, not "someone".

Again, the question.is, how did you go from "energy states" to "someone"?

In your own words please. Sijaona hilo lilipojibiwa katika hiyo copy paste yako.

Au una copy paste vitu usivyovielewa?

Why you think is so hard to understand The Laws of Thermodynamics?Vitokanazona wanadamu , vilivyofundishwa yokea shule za awali.

You asked me how I come from energy state to someone? Same way how they defined FORCE ; what it can cause when applied to the mass rather than the other way around.

Unashutumu copy na paste badala ya kuongelea yaliomo na uyapinge ..you throw cheap shot.

Sasa wewe Law gani utakayoongelea iliyo yako isiyo kutoka kwa wengine.Bwana Kiranga una theory yoyote utakayosema hii ni yangu haitoki from someone else?

Sijaongelea dini kuanzia mwanzo wa hii thread mpaka sasa sijuhi kwa nini unataka kunipeleka on that corner...is that where you good on winning arguments.?
 
1. Anaesema Mungu yupo ana wajibu wa kuthibitisha kwa nani? Maana wajibu ni kwamba unawajibika chini ya mtu/mamlaka flani.

2. Anatakiwa athibitishe ili iweje lablda. Yaani dhumuni la kuthibitisha ili huyo anaethibitishiwa afanyeje?

Anayesema mungu yupo ana wajibu wa kuthibitisha kwa wote anaowaambia.

Kuwajibika hakutokani na mtu au mamlaka tu, bali unaweza hata kuwajibika kwa kanuni fulani.

Kanuni inayowajibisha hapa ni kanuni ya kuheshimu ukweli na uhasibu.

Sehemu ya pili ya swali lako imeshajibika.
 
Kabla hajaweza kuthibitisha uwepo wa mungu hizo nyingine zote naona hadithi tu.

Huwezi kuniambia kuhusu ufalme wa mungu nikakueleea wakati hata kumuelezea vizuri huyo mungu na kunishawishibkwamba kweli yupo huwezi.

Hahahahahah dah! aisee...
 
NB: You need Him, He doesn't need you for Him to be God.

Just like education, you need education and education doesn't need you. SAME LOGIC

what do i need him for?

if he doesnt need me why is he so obsessed with me? LOL. why he cares if i believe he exists or not , what i do what i think, hadi katayarisha na moto kabisa¿

and I see you using logic to describe an illogical God.
 
Kabla hajaweza kuthibitisha uwepo wa mungu hizo nyingine zote naona hadithi tu.

Huwezi kuniambia kuhusu ufalme wa mungu nikakuelewa wakati hata kumuelezea vizuri huyo mungu na kunishawishibkwamba kweli yupo huwezi.

u have to atleast show interest LOL
 
Hahahahahah dah! aisee...

We should go from the less complex to the more complex.

Sasa mtu hii less complex tu, the mere existence of god, kashindwa kuithibitisha, anataka kunifanya nikubalinkwamba huyu mungu si yupo tu, bali ana.ufalme na omnipotence, omniscience, omni.benevolence, omnipresence etc.

Ebooo.
 
sometimes commenters mnashindwa kuelewana. mmoja akiamua kuondoka mnasema amekimbia. tena Sangarara kasema kabisa hamna uwezo wa kupokea.

si ni mambo ya ufalme wa mbinguni?? haya basi kaambianeni siri zenu PM wachaguliwa wa bwana.
bwana yupi? huenda umechukia, si ndio? kwa hiyo kumbe umejua kabisa ilitokea kutokuelewana ndio maana jamaa akaona hatuna uwezo wa kuzipokea akaamua kutuacha sasa hapo amekimbia vipi? Hapana hizo siri sio za PM kama Sangarara akishaona tumekuwa na uwezo wa kuzipokea na wewe utazipata tu ondoa shaka...
 
Last edited by a moderator:
Anayesema mungu yupo ana wajibu wa kuthibitisha kwa wote anaowaambia.

Kuwajibika hakutokani na mtu au mamlaka tu, bali unaweza hata kuwajibika kwa kanuni fulani.

Kanuni inayowajibisha hapa ni kanuni ya kuheshimu ukweli na uhasibu.

Sehemu ya pili ya swali lako imeshajibika.

Sehem ya 2 ya swali langu haijajibika. Umesema vizuri kua anatakiwa kuthibitisha kwa anaowambia,ili wafanyeje?

Kanuni huwezi kuithibitishia bali unaithibitisha.
 
Ni kama wewe na mwajiri wako, yeye ana targets zake na wewe unapanga mipango kuzifikia, usipofikia anakupenalise, ukifikia anakureward
 
Unatafsirije ukamilifu?

Nikisema kuwa mwili wako umekamilika kwa kuwa na viungo vyote ninakuwa na maana kuwa huwezi kupoteza kimoja?

hapo umeonyesha maana ya kukamilika mbili.
ya kujitosheleza.
na kutoweza kuharibika.

when i talk about a perfect world i mean an undestructable one. unfortunatley it wasnt the one created. already explained that. again hatutaelewana.

ita useless going in circles
 
u have to atleast show interest LOL

I have exhibited an exceedingly inquisitive thirst for a deep understanding.

The problem is, oftentimes my analysis is in the trenches of philosophy of religion and deep science. I would ping pong from Anselm, Augustine, Russell and Dawkins to Penrose, Hawking, Einstein and Bohr.

And frankly most of these cats and birds are left in the dark.

Some of the more philosophical questions are simply beyond the grasp of most of the members here.

And therein lies the problem.

Mtu unataka kuongelea the nature if the deity wakati hujasoma kitabu chochote zaidi ya bibkia au Kurani, na hata hivyo umesomea kanisani au msikitini.

SMH.
 
Back
Top Bottom