If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

Kubishana au kupinga imani ya MTU hakuna tofauti na uwendawazimu
 
Kiranga we fahamu kuwa human being are not static. We do change with tym. What you don't appreciate today may be your everything tomorrow. Kuna mwizi mmoja aliokokea msalabani na yesu.
 
Last edited by a moderator:
Kiranga we fahamu kuwa human being are not static. We do change with tym. What you don't appreciate today may be your everything tomorrow. Kuna mwizi mmoja aliokokea msalabani na yesi
 
Last edited by a moderator:
This is assertion worth of proof by itself. Kiranga are you dumb in any other area?

No, worth of disproof, because if it is nonexistent, and a disproof is possible, then that disproof would prove that it can be proven otherwise.

Who is dumb now?
 
Last edited by a moderator:
siwezi kuamini kamaMungu kashindwa..as far as my faith kwamba Mungu Aweza yote. Imani yangu inanieleza unabii kuwa itatokea wakwanza kuwa wamwisho na wamwisho kuwa wakwanza. ikiwa na maana wale waliookoka mwanzo wanaweza kuachwa na wale wanaokuja kuokoka baadaye na kumkiri yesu wakaenda mbinguni?. let me guess Inawezekana wewe ni wa Mwisho hivyo..i hope your time is yet to come.
ndio maana yesu alisema yaacheni magugu yaote na ngano-msije mkang'oa magugu na kujikuta mnaondoa na ngano, yawezekana wewe ni ngano ila umebanwa na magugu kwa sasa .Ila siku ipo utamkiri mungu. na mwisho utakuja kuvunwa kama ngano halisi.

NB: cha msingi hakuna anayeamwamini Yesu kwa nguvu zake:neither you are.

Mimi.nakwambia kwamba simuamini mungu wako, mungu anayependa.watu wote na kutaka wamuamini, halafu unasema huwezi kuamini.kwamba mungu kashindwa kuniaminisha njia yake?

Na kwa nini mungu apendaye wote wengine awawekee magugu na wengine tambarare?

Aliowawekea magugu wakisema.wameshindwa kumuamini kwa sababu kawawekea magugu watakuwa wamekosea? Ilhali magugu kaweka mungu?
 
Kiranga we fahamu kuwa human being are not static. We do change with tym. What you don't appreciate today may be your everything tomorrow. Kuna mwizi mmoja aliokokea msalabani na yesu.

Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao dhambi na ubaya vinawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu wowote aliotaka?
 
Last edited by a moderator:
"Pembetatu duara" ipo katila Euc lidean geometry?

Kusema pembetatu duara hakuna tofauti na kusema MTU kiazi...

Ni suala la "uwezekano" sio uwepo lakini kwa uwepo lazima hilo neno limetokana na dhana kuu ya hilo....

Kuna dhana iliyozaa pembetatu duara na unapolitaja neno haraka akili hurejelea kitu....
 
Kuwepo kwa dhana si kuwepo kwa kitu.

Naweza kuwa na dhana ya dunia iliyo na muda unaoenda kinyumenyume, watu wanaanza maisha makaburini, wanatoka ardhini, wanaanxa uzeeni na kuwa vijana kadiri ya muda unavyoongezeka, na wanakufa kwa kuingia matumboni.mwa mama zao wakiwa wachanga.

Dhana hii haisabishi ulimwengu huu uwepo.

Zaidi, ukisema kuwa na dhana maana yake kilichodhaniwa kipo, unajitia katika mkingamo usiowezekana kusuluhishwa.

Mathalani.

Naweza kudhai kwamba A ipo.

Na naweza kudhani.pia kwamba A haipo.

Kwa mujibu wa habari yako, kinachodhaniwa ninlazima kiwe.

Sasa nukiweza kudhani kwamba A ipo, na pia A haipi, kwa mujibu wako, A ipo au haipo?

Nimeweza kudhani.vyote, kwamba ipo na haipo.

Ukielewa mikingamo unajitokeza hapo utaona ujuha wa fikra nzima ya kusema kila kinachodhaniwa kipo.

Read the classic Gteek pholosophy text.

They discussed this abd debunked your notion, thousands of years. Before Aristotle and Socrates.
 
No, worth of disproof, because if it is nonexistent, and a disproof is possible, then that disproof would prove that it can be proven otherwise.

Who is dumb now?
As long as it remains IF. But you somehow jump from IF to IT IS with no proof.
Thats why I asked if you are dumb in any other area!
 
Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao dhambi na ubaya vinawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu wowote aliotaka?

Mkuu hakuna swali lisilo na jibu. Ukipitia theology ya dini. theology inaeleza dunia ilipoumbwa ilikuwa safi na njema. ukitumia bibilia kitabu cha mwanzo utaona how things change ni baada ya ardhi kulaanika. but with time things change.majibu yapo tena rational.ishu huu Uzi najaribu kukoment neutral god.
 
Kuwepo kwa dhana si kuwepo kwa kitu.

Naweza kuwa na dhana ya dunia iliyo na muda unaoenda kinyumenyume, watu wanaanza maisha makaburini, wanatoka ardhini, wanaanxa uzeeni na kuwa vijana kadiri ya muda unavyoongezeka, na wanakufa kwa kuingia matumboni.mwa mama zao wakiwa wachanga.

Dhana hii haisabishi ulimwengu huu uwepo.

Zaidi, ukisema kuwa na dhana maana yake kilichodhaniwa kipo, unajitia katika mkingamo usiowezekana kusuluhishwa.

Mathalani.

Naweza kudhai kwamba A ipo.

Na naweza kudhani.pia kwamba A haipo.

Kwa mujibu wa habari yako, kinachodhaniwa ninlazima kiwe.

Sasa nukiweza kudhani kwamba A ipo, na pia A haipi, kwa mujibu wako, A ipo au haipo?

Nimeweza kudhani.vyote, kwamba ipo na haipo.

Ukielewa mikingamo unajitokeza hapo utaona ujuha wa fikra nzima ya kusema kila kinachodhaniwa kipo.

Read the classic Gteek pholosophy text.

They discussed this abd debunked your notion, thousands of years. Before Aristotle and Socrates.

Hivi uwepo wewe unaweza kuuelezeaje labda?

Ukisikia "uwepo" unaelewa nini?
 
Back
Top Bottom