If it is government funds, why call it Samia scholarships?

Akiwa kama mwanasiasa hana chochote kile cha ziada isipokuwa anatafuta "political mileage" kuelekea 2025 ambapo kama Rais aliyepo madarakani anaamini kuwa atainuka na kuangaza.
 
Kuna mambo mengi sana ya kurekebisha kwenye nchi yetu tatizo ni kila ukiangalia huoni mtu sahihi wa kuyafanya.

Hizi pesa zingewekwa kwenye mfuko wa bodi ya mikopo, watoto wengi sana wa masikini wangenufaika nazo.

Tunaendelea kubuni vitu nje ya mfumo wa kisheria wakati vile vilivyo kwenye mfumo wa kisheria tumeshindwa kuvitekeleza kwa japo 70%.

Kwa vigezo vya hiyo inayoitwa scholarship, wenye sifa karibu 98% ni watoto ambao wazazi wao wanaweza kuwasomesha bila mikopo. Hapa naomba isitafsiriwe kuwa watoto wa wenye nacho hawapaswi kutazamwa lakini tuangalie hali ya wanaopitia watoto wanaosoma shule ambazo haya sehemu ya kukaa ni ya kugombania. Je wanaweza kushindana na wale wanaofika shuleni na kukuta kila kitu huko?

Kila siku ukikaa na kujiuliza hii nchi ina matatizo gani, sidhani kama utaweza kupata afya.
 
Hii labda ndio point
Kuwa wafauluo wengi ni from Private Schools

Labda wapewe zawadi kuwapongeza etc

Lakini Wizara wasishutumiwe kwanza labda wana sababu ama study mahsusi iliyopelekea maamuzi hayo
 
amepata wapi hela? Nobel kwa mfano, anatoa Alfred Nobel prize kwa pesa zake ambazo zinatokana na ugunduzi wake wa dynamite...pesa tele maana patent yake bado inatumika dunia nzima. sasa yeye ana nini pa kutoa hela? kutumia
Huo Urais tu, tayari pesa zipo
 
Daraja la Kijazi ama Mfugale ni fedha za Umma why yanaitwa hivyo?

Airport je?
Hostel ya JPM je?
Mkicomment narudi
Huyu ana divert hela za Serikali kwenda kujijenga kisiasa yeye binafsi. Ya madaraja ni budget ya Serikali approved by Bunge and naming it does not benefit anybody.
 
Back
Top Bottom