Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ya mwisho kila goti litapigwaRoyal Tour tuliambiwa wataweka wazi nani alichangia ila kimya mpaka sasa.
Na hili nalo usitegemee kujua source of funds.
Awamu hii hakuna uwazi katika lolote kama wanavyotaka tuamini.
Ubongo wangu sawa na wako?Sasa kama ubongo huna utaelewaje ?
to a swindler urais ni hela.......Huo Urais tu, tayari pesa zipo
Maswali ya kijinga. Heshima ya mtu usiichezee kisiasa kwa vile tu CUF na CHADEMA bado hamjapara Rais. Kwani Ziwa Victoria alitoa ndoo ngapi za maji kulijaza? Duke of York alijenga tofali ngapi New York? Ni heshima ya mtu, akisema NO itakuwa NO kwa sababu tulimpa madaraka hayo tulipomchangua, akamshinda tundulissu 87%/13%. Kama ingekuwa the other way round tungekuwa na Makanikia BridgeRais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Ni jina tu mfano uwanja kuitwa uwanja wa mkapa haimaanishi ulijengwa kwa pesa yake.Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Hizo fedha ziliidhinishwa na bunge?Ni jina tu mfano uwanja kuitwa uwanja wa mkapa haimaanishi ulijengwa kwa pesa yake.
Tupunguze makasiriko vitu vingine vya kawaida tu.
Daraja la kijazi haimaanishi alilijenga kwa pesa yake.
Ziwa victoria haimaanishi eliza ndiye aliliweka pale, ni jina tu.
Hofu yangu, ni je watu hawatazipiga hizo pesa maana tz ni upigaji tu.
Nani aliyemchagua huyo unayemtetea?ubovu wa katiba ndiyo imemfanya arithi na siyo kuwa amechaguliwaMaswali ya kijinga. Heshima ya mtu usiichezee kisiasa kwa vile tu CUF na CHADEMA bado hamjapara Rais. Kwani Ziwa Victoria alitoa ndoo ngapi za maji kulijaza? Duke of York alijenga tofali ngapi New York? Ni heshima ya mtu, akisema NO itakuwa NO kwa sababu tulimpa madaraka hayo tulipomchangua, akamshinda tundulissu 87%/13%. Kama ingekuwa the other way round tungekuwa na Makanikia Bridge
Mkuu ongezea na uwanja wa Benjamin Mkapa.Daraja la Kijazi ama Mfugale ni fedha za Umma why yanaitwa hivyo?
Airport je?
Hostel ya JPM je?
Mkicomment narudi
Hivi wenzetu mlisoma shule zipi mbona zimewafundisha kulalamika tuu na reasoning capacity ndogo kiasi hicho? Kuita jina mali ya umma ndio lazima kiwe chake au ametoa pesa mfukoni mwake? Hizi shule za umma zenye majina ya viongozi mbalimbali je ni za kwao au wao ndio waliotoa pesa? By the way hizo scholarship atasomesha wakojani wake? Au watoto wenu wenyewe? Watanzania mbona mnalalamika Sana bila sababu za msingi. Nachelea kumuelewa JPM kuweka mipaka kwenye Uhuru wa kukosoa. Hamna jema kwenu.Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Hii ndio JF ya siku hizi,imejaa hisia badala ya fact.Nafikiri ilitakiwa iitwe Tanzania scholarship kwa sababu nahisi ni Kodi za wananchi Hizo!! Ukitaja jina la mtu maana yake yeye ndiye katoa hela mfukoni mwake!!
Yale ni majina ya heshima kutokana na utumishi wao umaarufu wao....Kawawa road haimaanishi kwamba hiyo barabara imejengwa na Kawawa.......Daraja la Kijazi ama Mfugale ni fedha za Umma why yanaitwa hivyo?
Airport je?
Hostel ya JPM je?
Mkicomment narudi
Dogo, kama hoja inakuzidi kimo pita kimyakimya tu!Nimesoma Ila sijaelewa
Na huu ni ujinga unaowafanya wajinga kumuabudu raisHuyu ana divert hela za Serikali kwenda kujijenga kisiasa yeye binafsi. Ya madaraja ni budget ya Serikali approved by Bunge and naming it does not benefit anybody.
Bora hao magufuli na nyerere walichaguliwa na wananchi kidemokrasia tofauti na sa.....ambay yeye ameri...Daraja la Kijazi ama Mfugale ni fedha za Umma why yanaitwa hivyo?
Airport je?
Hostel ya JPM je?
Mkicomment narudi