NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba mpya"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo kiazi kabisa.kama uwezo mdogo sio lazima uchangie ndugu.Maswali ya kijinga. Heshima ya mtu usiichezee kisiasa kwa vile tu CUF na CHADEMA bado hamjapara Rais. Kwani Ziwa Victoria alitoa ndoo ngapi za maji kulijaza? Duke of York alijenga tofali ngapi New York? Ni heshima ya mtu, akisema NO itakuwa NO kwa sababu tulimpa madaraka hayo tulipomchangua, akamshinda tundulissu 87%/13%. Kama ingekuwa the other way round tungekuwa na Makanikia Bridge
Pesa tunakatwa kwenye line za simu siyo za SamiaSamia ndio katoa ufadhili.
Jamaa mjinga.Amepata wapi hela? Alfred Nobel kwa mfano, anatoa Nobel prize kwa pesa zake ambazo zinatokana na ugunduzi wake wa dynamite... pesa tele maana patent yake bado inatumika dunia nzima. sasa yeye ana nini pa kutoa hela? kutumia
Swali bora kabisaRais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
"Kila siku ukikaa na kujiuliza hii nchi ina matatizo gani, sidhani kama utaweza kupata afya."Kuna mambo mengi sana ya kurekebisha kwenye nchi yetu tatizo ni kila ukiangalia huoni mtu sahihi wa kuyafanya.
Hizi pesa zingewekwa kwenye mfuko wa bodi ya mikopo, watoto wengi sana wa masikini wangenufaika nazo.
Tunaendelea kubuni vitu nje ya mfumo wa kisheria wakati vile vilivyo kwenye mfumo wa kisheria tumeshindwa kuvitekeleza kwa japo 70%.
Kwa vigezo vya hiyo inayoitwa scholarship, wenye sifa karibu 98% ni watoto ambao wazazi wao wanaweza kuwasomesha bila mikopo. Hapa naomba isitafsiriwe kuwa watoto wa wenye nacho hawapaswi kutazamwa lakini tuangalie hali ya wanaopitia watoto wanaosoma shule ambazo haya sehemu ya kukaa ni ya kugombania. Je wanaweza kushindana na wale wanaofika shuleni na kukuta kila kitu huko?
Kila siku ukikaa na kujiuliza hii nchi ina matatizo gani, sidhani kama utaweza kupata afya.
Demokrasia ni kichaka cha ufujaji wa pesa za wananchi kwa ajili ya kutafuta sifa binafsi na kujitangaza kisiasa kwa watu wa tabaka tofauti.Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Umetumia akili sana.Daraja la Kijazi ama Mfugale ni fedha za Umma why yanaitwa hivyo?
Airport je?
Hostel ya JPM je?
Mkicomment narudi
Ila wale mbu wa kijani watakuwa na fujo kuharibu na kuponda huu uziUmeuliza swali la msingi sana!
Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Hii ni sawa kabisa.Nafikiri ilitakiwa iitwe Tanzania scholarship kwa sababu nahisi ni Kodi za wananchi Hizo!! Ukitaja jina la mtu maana yake yeye ndiye katoa hela mfukoni mwake!!
Itakuwa mafao yake ya Umakamu,kaamua kuwasomesha watoto wenyewe ufaulu mzuri.Amepata wapi hela? Alfred Nobel kwa mfano, anatoa Nobel prize kwa pesa zake ambazo zinatokana na ugunduzi wake wa dynamite... pesa tele maana patent yake bado inatumika dunia nzima. sasa yeye ana nini pa kutoa hela? kutumia
Mimi shida yangu hasa, malengo ya mfuko huu ni nini? Serikali haijaweza kutoa mikopo kwa maelfu ya watoto wa maskini wanaohitaji, leo wanaelekea kwa watoto wa matajari waliofanya vizuri kwakuwa baba na mama zao walikuwa na uwezo wa kiwatengenezea mazingira. Can you imagine wazazi wengi walipoteza rasilimali zao kwa ajili ya mtoto kufika tu sekondari. Chuo ndio usiseme. Hii nchi ni ya ajabu sana. Hizi fedha zilipaswa kuelekezwa kwa bodi ya mikopo. Wakope huko, wajekurejesha baadaeRoyal Tour tuliambiwa wataweka wazi nani alichangia ila kimya mpaka sasa.
Na hili nalo usitegemee kujua source of funds.
Awamu hii hakuna uwazi katika lolote kama wanavyotaka tuamini.
Hizo ni pesa za serikali,tungekuwa tunafsta utawala wa sheria,ilibidi ziende kwenye bodi ya mikopo,lakini kwa vile huyu mama umaarufu wake umekwisha kabisa,sasa hv mawaziri machawa wanatsfuta mbinu za bei rahisi Ili kumpa umaarufu,utasikia pochi la mama,shangazi wa east Afrika,sasa hv ni hii schorahship .Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Nakubaliana kabisa na hoja yako. Hata kama wazo alilitoa yeye, bado hatupaswi kusema Samia scholarship kwa kuwa ni hela ya Serikali. Kufanya kazi vizuri ndiko anachopaswa kufanya akiwa katika madaraka hayo ya urais. La sivyo avurumishwe kwa kushindwa kutimiza wajibu aliopewa. Ni tofauti na scholarship ya Mwalimu Nyerere Foundation kwa kuwa hela hizo siyo za serikali. Watu wanaelemewa na mizigo ya tozo. Mwigulu anasema mapato ya hizo tozo tunayaelekeza kwenye elimu, afya na kadhalika. Hapo hapo tunasema Samia scholarship! Huku ni kuchezea akili za Watanzania.Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Mbona tayari Mwigulu alieleza kwamba ni kutokana na tozo? Mtanzania abebeshwe tozo; hongera zielekezwe kwa Samia.Na hili nalo usitegemee kujua source of funds.
Umeuliza swali la msingi sana!