If it is government funds, why call it Samia scholarships?

If it is government funds, why call it Samia scholarships?

Mbona ata fedha ni nyara za serikali lakini zina sura za waliowahi kuwa marais??
Mbona hauulizi kwann ofisi za umma zina picha za Rais ???Swali la kitoto kabisa hili
Una level ya chini sana ya thinking, kama unaweza ku argue namna hiyo.
 
Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?

Na kwanini hizi pesa zisiongezwe kwenye bodi ya mikopo ambako vigezo tayari viko wazi kwa watanzania kupata mikopo ?
 
Rais aliyeko madarakani kuanzisha foundation ya Samia scholarship inaleta ukakasi haijakaa vizuri. Asubiri amalize muda wake ajikite huko. Hizo pesa zipelekwe loan board watoto wapewe Kwa utaratibu unaofahamika.
 
Back
Top Bottom