Mbona ata fedha ni nyara za serikali lakini zina sura za waliowahi kuwa marais??
Mbona hauulizi kwann ofisi za umma zina picha za Rais ???Swali la kitoto kabisa hili
Rais aliyeko madarakani kuanzisha foundation ya Samia scholarship inaleta ukakasi haijakaa vizuri. Asubiri amalize muda wake ajikite huko. Hizo pesa zipelekwe loan board watoto wapewe Kwa utaratibu unaofahamika.