hhaahha aisifiye mvua?......Sasa unafikiri wake/waume hawakujua kama wanakuwa cheated? mbona fumanizi zilikuwepo sana tu, mitoto ya nje kibao tu, hapa suala si kujua nasalitiwa, ni suala la purity, uaminifu na mshikamano. Inakera unapoliachia limwizi linajinafasi kwa sms na kupiga anytime linapotaka, hata bedtime na wakati mwingine linakutukana na kukutukana, masms ya mapenzi kibao, ohhh wewe ni mkali, nimefurahia game, pumbavu lazima kuwe na limit bana.
Kuna siku niligusa cm ya demu wangu duuuhh alikuwa mkali na alinuna cku nzima eti ananiuliza kwanini unagusa cm yangu kwani tumekubaliana hivyo?nikakaa kimya nilipo mchunguza nikagundua anavibwana ila nilimuweka sawa na sasa tuko pouwaa.
Kwa hiyo alishagawa uroda kwa hivyo vibwana vyake na wewe ukamsamehe mkasonga mbele na mapenzi yenu na sasa hivi kila kitu mswano?
Mimi ndio maana nina formula yangu ambayo so far sijapata wa kunibishia
Kuficha simu=Cheating
Hakuna explanation yoyote. Ukiona mwenza wako anaficha simu jua tu mko kwenye open relationship
Mie napenda sana kushika simu ya mume but najizuia coz sipendi nijiumize roho, nikishika lazima nitakuwa na maswali mengi kwa kila msg ,itamkosesha raha hata kama hakuna kitu kibaya maswali lazima nitauliza tu mengi,siitaki hii presha naacha tu simu akae nayo mwenyewe
Hii theory kuwa "simu ni private property" iko pioneered na wanaume. Afu nasikitika kuna wanawake/wasichana wana support hii theory wakati in most cases ni victims. Kuna ka mfumo dume kwenye hii theory. Mwanaume gani utamwambia upuuzi wa usishike simu yangu akubali. Ni sisi wanawake ndio tunajifanya watu wa kuelewa sana.
Mi na wewe tuko pamoja kabisa [sijui kwanini ckukuoa mimi!] kuepusha migogoro isiyo maana just avoid upekuzi sanaMie napenda sana kushika simu ya mume but najizuia coz sipendi nijiumize roho, nikishika lazima nitakuwa na maswali mengi kwa kila msg ,itamkosesha raha hata kama hakuna kitu kibaya maswali lazima nitauliza tu mengi,siitaki hii presha naacha tu simu akae nayo mwenyewe
<br />Hii theory kuwa "simu ni private property" iko pioneered na wanaume. Afu nasikitika kuna wanawake/wasichana wana support hii theory wakati in most cases ni victims. Kuna ka mfumo dume kwenye hii theory. Mwanaume gani utamwambia upuuzi wa usishike simu yangu akubali. Ni sisi wanawake ndio tunajifanya watu wa <i>kuelewa</i> sana.
mwanaharakatihii theory kuwa "simu ni private property" iko pioneered na wanaume. Afu nasikitika kuna wanawake/wasichana wana support hii theory wakati in most cases ni victims. Kuna ka mfumo dume kwenye hii theory. Mwanaume gani utamwambia upuuzi wa usishike simu yangu akubali. Ni sisi wanawake ndio tunajifanya watu wa <i>kuelewa</i> sana.
mwanaharakati
Hahahaaaaa uchi acha auone but simu yake siitaki wala sitaki kuangalia simu yake, kwanza jiulize unaangalia ina maana una wasiwasi nae mara kwa maraUko sawa kabisa Nyumba Kubwa! Mtu kwa nini uifiche simu kwa mpenzi wako halafu uchi unamwachia auone? Uchi na simu kipi kilicho cha faragha zaidi?
Hapo jibu ni dhahiri kabisa. Kama mtu huna cha kuficha kwenye simu yako basi hautakuwa na wasiwasi wowote ule endapo mwenzako ataiangalia. Zaidi ya hapo kama utakuwa unaing'ang'ania na kusema eti simu yako ni yako na sijui nini nini kingine lazima kutakuwa na ulakini.
Asiye na cha kuficha hataificha!
Ni ukosefu wa heshima kushikashika simu na kuchunguza wakati mwingine unapaniki kumbe hata hakuna kitu chochote, kuna dada alimtukana mwanamke kumbe mkwewe katumia simu ingine embu onaMfano mzuri nilikuwa nashika simu ya hubby wangu kila anapoishia usingizini na kusoma sms zote na sometimes kuzijibu na kuwatukana wote waliotuma sms zisizoeleweka.Niligombana na watu hata wasiohusika huku wezi wenyewe wakiwa ni wajanja na hawatumi sms,enzi zile ambako hatukuwa tukisajili ndio walikuwa wanatuma sms itakayokurusha roho kwan wanajua utawaka na hutampata mtu.Ila baada ya kuamua kuacha kushika simu yake miaka minne sasa nina amani kubwa ajabu.
roho kivipi mkuuSimu ni Roho ya mtu