Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,970
hhaahha aisifiye mvua?......Sasa unafikiri wake/waume hawakujua kama wanakuwa cheated? mbona fumanizi zilikuwepo sana tu, mitoto ya nje kibao tu, hapa suala si kujua nasalitiwa, ni suala la purity, uaminifu na mshikamano. Inakera unapoliachia limwizi linajinafasi kwa sms na kupiga anytime linapotaka, hata bedtime na wakati mwingine linakutukana na kukutukana, masms ya mapenzi kibao, ohhh wewe ni mkali, nimefurahia game, pumbavu lazima kuwe na limit bana.