Ifahamu bangi na madhara yake

Yaani unaokoteza vipicha vya wazungu huko mtandaoni halafu unakuja kuprove ujinga humu,wewe ni mjinga tu.
We umedata... Ulijua bange ni kama maji Kila mtu aweza kunywa... Ona Sasa umevuta imekudatisha(kichwa panzi). Ukichaa wako unajithibitisha pale unapotaka kuiadaa jamii kwamba bange ni kitu pekee chenye madhara.... Sikatai bange umevuta ila imekudatisha( u have abused the drug)
 
Bangi kama si fani yako achana nayo.... Wanavuta hadi wazee na maisha yanaenda
Wazee gani hao kama sio mazezeta kwenye hii jamii?Yaani mtu mzee na heshima zake atakimbiliaje kujaza moshi mwingi kiasi hicho na kuua ubongo na mapafu?Jitafakari ndugu.
 
Una shida zako binafsi wewe.... Wapigie kelele wavuta sigara achana na Holly herb
 
Hivi ndugu Tanzania bangi ni halali?Jibu swali hilo kwanza nione jinsi ya kuku adress vizuri.
 
Indeed you're a Holyshit
Wewe ni taahira kabisa kama bado unasapoti huu uchafu(bangi).Mwili wa binadamu hauhitaji uchafu mwingi wa moshi na ubongo pia vilevile.Sasa wewe unasapoti vipi bangi,huoni ubongo unaharibika huoni kuna kansa ya mapafu au haujui kua kansa huleta kuoza taritibu hadi uzeeni?Vuta tu bangi mwisho wake ni kilio kisicho na mfano
 
Bangi ina madhara makubwa sana Kwa Afya ya Akili na Mwili wa mtumiaji.
Ila Ganja ni dawa (Miediecine) Kazi yake ni kuboost Akili na kuondoa uchovu wa akili na Mwili.
Vijana wasivute Bangi... Waache Ina Athari kubwa
 
Very true mpk nimecheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…