Achana na mapicha ya wanawake unatutoa kwenye maana nzima kufatilia maendeleo ya Iran...
Made in Iran...
Watu wakifatilia apo watakutana na vitu vingi ambavyo walikua hawajui..
Mfano kwenye teknolojia ya Gas Turbine...
Simens from Germany
General motors from US
(Xxx) From Ukraine
Na nchi chache zilikua na monopoly kwenye kutengeneza vinu vya Gas vya kuzalisha umeme..
Mfano Urusi ilikua inategemea Ukraine na Siemens kwenye supply za Gas Turbine....Lakin ivi sasa Iran anatengeneza mwenyewe hizi Gas Turbine na teknolojia ya Gas Turbine haipishani sana na Engine za midege mikubwa... Leo Iran anatenda kibao nje ya nchi ya kuzalisha umeme wa gas kwa kutumia turbine zake km zilizopo ubungo...
Ukija kwenye sekta ya afya uko ndo anakuja kwakasi kwenye kuzalisha vifaa tiba vya kisasa km utrasound, MRI, X-rays nk nk
Ukija kwenye uzalishaji wa madawa na uvumbuzi wa madawa nako anakuja kwa kasi ni kati ya nchi chache ambazo zilitumia chanjo zake km 4 tofauti za Corona..
Ukija kwenye teknolojia ya Nano uko nako ni balaa...
Ni nchi chache sana ambazo zinazoweza kutengeneza Subrine au nyambizi na kipengele kigumu ni kwenye Sonar yani radar ya ndani ya maji na maswala mazima ya kupata hewa ya oksijen ikwa under water lakin waajemi wameweza...
Ukija kwenye masuala ya kielektronic uko nako yuko
Mleta mada najua umeelemewa lakini ukienda kwenye Made in Iran utashangaa