Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali ya sasa ya kiuchumi.

HISTORIA
Iran(Uajemi au Persia) tunayoiona hivi leo imeanza kujengwa miaka zamani sana; aliye anzisha himaya hiyo ni Cyrus the Great (Koreshi Mkuu) miaka ya 559BC. Hawa watu wameanza Civilization miaka mingi sana.

Eneo lote kuanzia Pakstan na sehemu ya India mpaka Romania lilikuwa chini ya Utawala wa Waajemi

View attachment 2965168

UCHUMI WA IRANI KWA SASA

Kwa sasa uchumi wa Iran ni $1.726 trillion (PPP; 2023 est.)
Uchumi wa Iran unaendeshwa na Sector:

Petroleum, petrochemicals, fertilizers, caustic soda, car manufacture, parts, pharmaceuticals, home appliances, electronics, telecom, energy, power, textiles, construction, cement and other construction materials, food processing (particularly sugar refining and vegetable oil production), ferrous and non-ferrous metal fabrication, armaments.

VEHICLE MANUFACTURING COMPANY IN IRAN
Iran Khodro

View attachment 2965189

Naendelea kutoa madini sasa......
Kampuni zote kubwa za magari za Iran zilianzishwa na kuanza kutengeneza magari miaka ya 1960 wakati wa utawala wa Shah Mohammed Reza Pahlavi uliopinduliwa mwaka 1979 na ma-Ayatollah
 
Waajemi siyo wa kitoto mzee

View attachment 2965379
IEI ilianzishwa mwaka 1972 chini ya utawala wa Shah Mohammed Reza Pahlavi.
Iran kupitia kampuni yake ya kijeshi ya DIO pia walisaidiwa na Israel katika kutengeneza makombora ya awali ya kisasa kupitia Project Flower kati ya mwaka 1977 hadi 1979.
 
Hivi walikuwa wanavaa zamani wakati wa utawal wa Shah na kabla ya mapinduzi ya ma- Ayatollah mwaka 1979. Sasa hivi watoto wa hivyo wa KiIran wanapatikana nje ya Iran tu.
Muhaho huo umeupata toka wapi?
 
Hivi walikuwa wanavaa zamani wakati wa utawal wa Shah na kabla ya mapinduzi ya ma- Ayatollah mwaka 1979. Sasa hivi watoto wa hivyo wa KiIran wanapatikana nje ya Iran tu.
Wacheki watoto wa Iran hawa hapa. Naanza kukutajia na majina yao kabisa u google

Elahe Hesari


1713431048053.png


 
Hivi walikuwa wanavaa zamani wakati wa utawal wa Shah na kabla ya mapinduzi ya ma- Ayatollah mwaka 1979. Sasa hivi watoto wa hivyo wa KiIran wanapatikana nje ya Iran tu.

Elnaz Habibi

1713431362901.png


1713432429966.png
 
Labda kama huijui vizuri guidance patrol/morality police.
Nadhani unaanza kuamisha magoli sasa. Naendelea kukupatia moto wa watoto kutoka Iran
Huyu hapa:

Sahar Ghoreishi
1713433529368.png

1713433575556.png
 
Back
Top Bottom