Sipendi kudanganywa kirahisi.Kwani ww ulicho kiona ni hiyo gari tu mbona umelikomalia sana?
Link umeisoma lakin?Sipendi kudanganywa kirahisi.
Kulikuwa na sababu gani kutafuta ujiko kwenye mambo ya uongo?
Ndugu MGALATIA najua inakuuma sana kuiona Iran ipo imara ila jikaze tuMgalatia ndio nini?
Muhaho unakuumiza π€£ π€£ π€£Kwasababu umeshindwa kutaja majina ya haya magari ngoja mimi nikusaidie.
Hayo magari yametengenezwa chini ya kampuni la kichina linaloitwa Beijing Automotive Group Co. Ltd (BAIC)
Hizo picha ni matoleo ya gari aina ya BAIC X35 (gari nyekundu) na BAIC X55ii (gari ya kijani)
Na hizi ndio picha zake BAIC X55ii
Muonekano wa mbele
View attachment 2965269
Muonekano wa ndani
View attachment 2965278
View attachment 2965276
View attachment 2965275
View attachment 2965270
Muonekano wa Engine yake
View attachment 2965273
Review:
View: https://youtu.be/wPbPw-y-uD4?feature=shared
Source: BAIC Group - Wikipedia
Baic autorings Site:https://autorings.lv/baic-x55-ii-luxury/
Baic official site: https://www.baicgroup.com.cn/passenger-vehicle.html
Wewe umeisoma?Link umeisoma lakin?
Yeah ime jibu na hata jina lake mbona lipoWewe umeisoma?
Imejibu swali langu?
Lakini umewekewa maelezo na ushahidi lakini bado unaendeleza ubishi tu.Sipendi kudanganywa kirahisi.
Kulikuwa na sababu gani kutafuta ujiko kwenye mambo ya uongo?
Tatizo sio yeye mapenzi yamezidi kulee mwisho haoniLakini umewekewa maelezo na ushahidi lakini bado unaendeleza ubishi tu.
Mi nimeishia hapo ku expose uongo wako, nimeweka source ya kila kitu ambacho nimekikosoa kuwa ni uongo.Muhaho unakuumiza π€£ π€£ π€£
Unahaha sana mzee. Mimi sina hata muda wa kubishana na wewe ninakuonehsa tu link. π€£ π€£ π€£ π€£Mi nimeishia hapo ku expose uongo wako, nimeweka source ya kila kitu ambacho nimekikosoa kuwa ni uongo.
Na itakuwa ni knowledge kwa watu ambao ni curious wanaotaka habari za ukweli.
Uzuri ni kwamba hata wewe bado utaendelea kujizolea wafuasi ambao wako interested na stori hizo, licha ya kwamba zimekuwa debunked.
Msee Mimi ni pro east nitake radhiWewe ni kunguru wa jangwani. Hayo mahaba kwa nchi za Magharibi siyo ya bure. Yaani kitu kikiwa Iran au Russia lazima uiponde kiaina. π π π
Kihoro hicho mzee kina msumbua. Chuma ya maana sana haamini macho yakeKwani ww ulicho kiona ni hiyo gari tu mbona umelikomalia sana?
Jina ndio hoja iliyopo kwenye swali nililouliza?Yeah ime jibu na hata jina lake mbona lipo
Muhaho unaendelea nao π€£ π€£ π€£ π€£Jina ndio hoja iliyopo kwenye swali nililouliza?
View attachment 2965310
Hii gari imetengenezwa China na kuja kuwa rebranded kwenye nchi tatu yani Italy, Iran na Europe.
Iran gari hiyo imepewa jina la FMC Suba M4
Na picha yake ya muonekano ni hii
View attachment 2965346
Kule Europe gari hiyo imepewa jina la DFSK Forthing 4 U-Tour
Na picha yake ya muonekano ni hii
View attachment 2965349
Italy gari hiyo hiyo imepewa jina la Cirelli 7
Na huu ndio muonekano wake
View attachment 2965358