Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #101
Unahaha sana mzee. 🤣 🤣 🤣 🤣 Pole yako. Au unataka tukuonehse kiwanda kabisa siyo?Wikipedia tunajua kuitumia na kuhakiki habari na ndio maana kuna external sources.
Kuhusu ku editi.
Kama nime edit basi angalia last edit imefanywa katika kipindi cha muda gani
Last edit imefanywa miezi mitatu iliyopita.
Sometimes unabidi tu kuwa muungwana na kukubali kuwa umekosea kuliko hizi conspiracies unazoleta kuhalalisha uongo wako
View attachment 2965418
Kamata hii video ikusumbue tena
View: https://youtu.be/jQoLZOvvwrA?si=_4aKkjrC4nSEE0-o