Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ajabu hawajui kua wanatesekaNinaposikia haya ndio najua kumbe Tanzania tupo huru,kuna watu wanateseka aisee.
Ni ndugu zetu, tumeweka ubalozi wao Mioyoni mwetuSisi tuna ubalozi huko?
Nani wa kuiokomboa wakati wananchi wote waliopo huko ni mateka wa watawala??Hiyo nchi inahitaji kukombolewa.
Je, una uhakika kwamba hauugui kichaa??Hata Marekani hamna demokrasia, vyama ni viwili tu na baada ya uchaguzi ni marufuku kuandamana
Je, una uhakika kwamba hauugui kichaa??STORY KUHUSU KOREA KASKAZIN NI ZA KUTENGENEZWA(UONGO)
ZIPUUZWE!
Sababu hizo story hutengenezwa na vyombo vya habari vya nchi za magharibi kama USA ili kuichafua Kwa sababu ni threat kwao na haitaki kwendana na sera zao.
Na ikumbukwe ndiyo nchi ambayo USA iliitangazia dunia kuwa inapaswa kutengwa ktk uso wa dunia.
Korea kaskazin ni Moja ya nchi stable kiuchumi na hata ktk science na technology hakuna nchi yoyote ya Africa hata baadhi ya nchi za Latin America ambazo unaweza kufananisha na Korea kaskazin.
Nchi ya Korea kaskazin ni Moja ya nchi yenye nishati nyingi za kuzalisha umeme ikwemo nyuklia Sasa nashangazwa na story za uhaba wa umeme wakat Wana nyuklia ya kutosha😳
Njoo na hoja siyo unakuja kama umeiingizwa dudeJe, una uhakika kwamba hauugui kichaa??
centKorea ya Kaskazini ni nchi yenye Utawala wenye Siasa za Itikadi kali zaidi ya Kikomunisti/Ujamaa hapa duniani.
Itikadi au Misingi mikali zaidi ya kikomusti/ujamaa iitwayo 'Juche' ndio hutekelezwa kwa asilimia Mia Moja nchini Korea ya Kaskazini.
Uovu na ghiriba za kiutawala ni nyingi Sana, Hakuna Uhuru Wala demokrasia, na kwa kutumia njia za ghiriba, uovu, ulaghai na hila iliyopindukia, watawala wa nchi hiyo wameipa jina zuri Sana nchi hiyo eti kuwa ni 'Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea ya Kaskazini' wakati ndani ya nchi hiyo hakuna hata chembe Wala harufu ya kuwepo kwa demokrasia, ni full udikteta kwa kwenda mbele. Kuishi Korea ya Kaskazini ni kuishi Jehanamu, it is a real hell !
But all in all, North Korea has the most repressive regime in the World, North Korea has the most craziest regime in the World.
Na kwa bahati mbaya zaidi kwa nchi yetu hii ya Tanzania, hata Mwl. Nyerere aliiga mtindo wa Sera, Itikadi na Siasa za Kikomunisti/Ujamaa wenye misingi hiyo hiyo ya itikadi ya Juche kutoka kwa nchi hiyo ya Korea ya Kaskazini, alifanya hivyo baada ya yeye mwenyewe binafsi kuanzisha urafiki wa karibu Sana na mtawala wa nchi hiyo ambaye alikuwa Babu yake huyu Rais wa Sasa wa nchi hiyo. That's why ndani ya nchi yetu hii kwa kweli mambo siyo shwari kabisa, kumekuwa na mikwamo mingi Sana ya kisiasa na maendeleo kutokana na kuiga mtindo huu mbaya Sana wa siasa za kikomunisti 'juche'.
Hivi pale pembeni ya ubalozi wa urusi pale salenda siyo ubalozi wa korea kaskazini ule!?..nikumbusheniSidhani
Wanajua,ndiyo maana hutorokaSi ajabu hawajui kua wanateseka
...-Ni nchi ambayo Rais wao huvaa suruali pana miguuni mithili ya sketi na haina shida.A mere joke!Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku.
Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu vya dini.....haviruhusiwi kuingia nchini humo
- Rais anaheshimika kama mungu,
-Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya marekani.
-Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.
-Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.
-Hakuna vyama vingi.
-Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.
-Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
Korea kaskazini - kuvaa Vimini marufuku,
-Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.
-Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.
-Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.
-Haina ubalozi Tanzania.
-Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.
- Rais akiongea ukisinzia unapigwa risasi, mwaka juzi waziri wa ulinzi alipigwa risasi hadharani kwa kosa la kusinzia kwenye kikao wakati rais akiongea,
-Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya marekani.
-Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.
-Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.
-Hakuna vyama vingi.
-Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.
-Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
-Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.
-Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.
-Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.
-Haina ubalozi Tanzania.
-Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.View attachment 3122319View attachment 3122320
Hii sidhani kama wanawazidi nchi kama djibout, Eritrea (hzi nchi hata timu zao wakija kucheza hapa bongo wanalindwa ili wasitoroke), pia kuna ethiopia, somalia, libyaNdio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.
Umewahi kuishi, au unasikiliza propaganda za Wamagharibi?Korea ya Kaskazini ni nchi yenye Utawala wenye Siasa za Itikadi kali zaidi ya Kikomunisti/Ujamaa hapa duniani.
Itikadi au Misingi mikali zaidi ya kikomusti/ujamaa iitwayo 'Juche' ndio hutekelezwa kwa asilimia Mia Moja nchini Korea ya Kaskazini.
Uovu na ghiriba za kiutawala ni nyingi Sana, Hakuna Uhuru Wala demokrasia, na kwa kutumia njia za ghiriba, uovu, ulaghai na hila iliyopindukia, watawala wa nchi hiyo wameipa jina zuri Sana nchi hiyo eti kuwa ni 'Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea ya Kaskazini' wakati ndani ya nchi hiyo hakuna hata chembe Wala harufu ya kuwepo kwa demokrasia, ni full udikteta kwa kwenda mbele. Kuishi Korea ya Kaskazini ni kuishi Jehanamu, it is a real hell !
But all in all, North Korea has the most repressive regime in the World, North Korea has the most craziest regime in the World.
Na kwa bahati mbaya zaidi kwa nchi yetu hii ya Tanzania, hata Mwl. Nyerere aliiga mtindo wa Sera, Itikadi na Siasa za Kikomunisti/Ujamaa wenye misingi hiyo hiyo ya itikadi ya Juche kutoka kwa nchi hiyo ya Korea ya Kaskazini, alifanya hivyo baada ya yeye mwenyewe binafsi kuanzisha urafiki wa karibu Sana na mtawala wa nchi hiyo ambaye alikuwa Babu yake huyu Rais wa Sasa wa nchi hiyo. That's why ndani ya nchi yetu hii kwa kweli mambo siyo shwari kabisa, kumekuwa na mikwamo mingi Sana ya kisiasa na maendeleo kutokana na kuiga mtindo huu mbaya Sana wa siasa za kikomunisti 'juche'.
Na Kwa nn waibiane mavi? Au Kuna adhabu Kwa aliyekusanya mavi machache? Au Kuna ela wanapewa Kwa walio fanikiwa kukusanya mavi mengi?Hapa 👇👇👇Nilitaka kuelewa kuliko mwandishi dunia ya ajabu hii.
Kinyesi ni mali ya serikali na kuna siku maalum ya kukusanya, watu huibiana sana vinyesi.
Ona hili jinga la Lumumba stadiumHata Marekani hamna demokrasia, vyama ni viwili tu na baada ya uchaguzi ni marufuku kuandamana