wakunyonya
JF-Expert Member
- Feb 5, 2024
- 520
- 1,414
😂😂😂😂😂Hata Tanzania tumewapita uchumi hao korea kaskazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Hata Tanzania tumewapita uchumi hao korea kaskazini
SidhaniSisi tuna ubalozi huko?
apungufu yapo kila sehemu ila angalau wao kuna mwanga unaonekana ukimulika gizani📌😁💪🏿Huku afrika vinyesi ni mali ya kila mtu, tumeshindwa kutumia kinyesi kutengeneza umeme nk
Korea wapo vizuri sana, Mungu awazidishie zaidi
Mapungufu yapo kila sehemu ila angalau wao kuna mwanga unaonekana ukimulika gizani
Usicheke hao jamaa na uongozi wao wa kibabe ni dhaifu sana kwetu.😂😂😂😂😂
SidhaniSisi tuna ubalozi huko?
apungufu yapo kila sehemu ila angalau wao kuna mwanga unaonekana ukimulika gizaniHuku afrika vinyesi ni mali ya kila mtu, tumeshindwa kutumia kinyesi kutengeneza umeme nk
Korea wapo vizuri sana, Mungu awazidishie zaidi
Mapungufu yapo kila sehemu ila angalau wao kuna mwanga unaonekana ukimulika gizani
Ni ndugu na chama chawalaNi ndugu zartu, tumeweka ubalozi wao Mioyoni mwetu
SidhaniSisi tuna ubalozi huko?
apungufu yapo kila sehemu ila angalau wao kuna mwanga unaonekana ukimulika gizaniHuku afrika vinyesi ni mali ya kila mtu, tumeshindwa kutumia kinyesi kutengeneza umeme nk
Korea wapo vizuri sana, Mungu awazidishie zaidi
Mapungufu yapo kila sehemu ila angalau wao kuna mwanga unaonekana ukimulika gizani
Nimetoa credit labda kama hujasoma mpaka mwisho ile part 2Unaanza kukuta post X kisha unaikuta JF.
Wa X hajatoa credit kama kaitoa JF. Wa JF hajatoa credit kama kaitoa X 😅
Usisikilize story za kutungwa wale jamaa wapo mbali sana, sidhani kama Kuna nchi ya Africa inauchumi mnzur kuwapita Hawa jamaa. Wale jamaa hasa technology inawabeba sana.Usicheke hao jamaa na uongozi wao wa kibabe ni dhaifu sana kwetu.
😭😭😭😭 Et wizi wa mavi itakua kuna kajiadhabu huko wanapewa ukiishi huko hakikisha usiwe mvivu wa kunyaNa Kwa nn waibiane mavi? Au Kuna adhabu Kwa aliyekusanya mavi machache? Au Kuna ela wanapewa Kwa walio fanikiwa kukusanya mavi mengi?
Hapa ndipo patamu sasaBangi ruksa kuvuta,kulima na kuuza.
Nyongeza: adhabu ya mtu inaweza kujumuisha kizazi mpaka cha 3 cha mtu huyoKorea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku.
Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu vya dini haviruhusiwi kuingia nchini humo
- Rais anaheshimika kama Mungu
- Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya Marekani.
- Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.
- Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.
- Hakuna vyama vingi.
- Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.
- Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
Korea kaskazini - kuvaa Vimini marufuku,
-Haina ubalozi Tanzania.
- Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.
- Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.
- Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.
-Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.
- Rais akiongea ukisinzia unapigwa risasi, mwaka juzi waziri wa ulinzi alipigwa risasi hadharani kwa kosa la kusinzia kwenye kikao wakati rais akiongea,
- Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya marekani.

- Haina ubalozi Tanzania.
- Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.
View attachment 3122319
Watu wanaongea fact,wewe unaleta siasa!Tanzania kuna mtu anazuiwa kunyoa kiduku?Watu wanazuiwa kwenda nje ya nchi?Mara ngapi raisi anahutubia huku baadhi ya Watu wanasinzia?Waliwahi kupigwa risasi?Kuongea kiingereza ni kosa la jiai hapa bongo?Kuangalia muvi za nje he?Tungewajua kina Anodi,Van Damme,Rambo,n.kNdiyo maana siwapendi wanasiasa wanaoleta siasa kwenye mambo ya mdingi.Matatizo yaliyopo ni ya kawaida hasa katika nchi zetu hizi zinazoendelea.Haitokuja itokee matatizo yaishe.Hakuna mtu yeyote atakayekuja kumaliza matatizo katika nchi yetu,hata wewe upewe uraisi.Ndiyo maana tumeahidiwa nchi mpya ambayo haki yakaa ndani yake.Hakuna magonjwa,huzuni,Wala vilio maana Mungu atakuwa pamoja nao(Ufunuo 21:1-5).Wanasiasa muogopeni MUNGU Kwa kuwaaminisha Watu uongo Ili kuwajengea chuki Kwa viongozi waoNani wa kuiokomboa wakati wananchi wote waliopo huko ni mateka wa watawala??
Hivi sisi wa-Tanzania tunaweza kuwa na uthubutu wa kuwacheka hao wananchi wa huko Korea ya Kaskazini?
Sisi wa-Tanzania na hao watu wa Korea ya Kaskazini Wala hatuwezi kuchekana, kwa sababu sisi wote tupo kwenye boti Moja.
Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku.
Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu vya dini haviruhusiwi kuingia nchini humo
- Rais anaheshimika kama Mungu
- Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya Marekani.
- Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.
- Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.
- Hakuna vyama vingi.
- Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.
- Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
Korea kaskazini - kuvaa Vimini marufuku,
-Haina ubalozi Tanzania.
- Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.
- Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.
- Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.
-Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.
- Rais akiongea ukisinzia unapigwa risasi, mwaka juzi waziri wa ulinzi alipigwa risasi hadharani kwa kosa la kusinzia kwenye kikao wakati rais akiongea,
- Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya marekani.
- Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.
- Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.
- Hakuna vyama vingi.
- Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.
- Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
- Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.
- Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.
- Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.
- Haina ubalozi Tanzania.
- Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.
View attachment 3122319
Pia ni marufuku kuvaa vazi aina ya jeans au kujaribu kuingiza vazi hilo huko kwa Bw. Kim..Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku.