Ifahamu kwa kifupi Korea Kaskazini

Ifahamu kwa kifupi Korea Kaskazini

Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku.
Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu vya dini haviruhusiwi kuingia nchini humo
  • Rais anaheshimika kama Mungu
  • Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya Marekani.
  • Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.

- Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.

- Hakuna vyama vingi.

- Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.

- Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
Korea kaskazini - kuvaa Vimini marufuku,
  • Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.
  • Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.
  • Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.
-Haina ubalozi Tanzania.
-Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.
  • Rais akiongea ukisinzia unapigwa risasi, mwaka juzi waziri wa ulinzi alipigwa risasi hadharani kwa kosa la kusinzia kwenye kikao wakati rais akiongea,
  • Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya marekani.
  • Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.
  • Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.
  • Hakuna vyama vingi.
  • Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.
  • Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
  • Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.
  • Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.
  • Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.
  • Haina ubalozi Tanzania.
  • Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.

View attachment 3122319
Yaani familia moja ndo inawanyanyasa taifa zima, kumbe tuna afadhali kidogo.
 
Mkuu moja la kanusho si hilo apo juu....aya na wewe ulete chanzo cha hyo propaganda yako sio za kukopi uko x
Wale wajinga wote waliosema nimeandika uongo nikawaomba walete chagizo la ukweli wako wapi mpaka sasa?
Kukanusha ni rahisi sana kuliko kuthibitisha
Hujaandika mkuu sema umecopy...na kupaste....
 
Hata Marekani hamna demokrasia, vyama ni viwili tu na baada ya uchaguzi ni marufuku kuandamana
Nani kakudanganya kuwa vyama ni viwili tu, google basi, marekani kuna vyama zaidi ya 60 na mwakaka huu vilivyoweka nia ya kugombea urais ni 3 tu.
 
hivi huyu kiduku wanamuogopea kitu gani..mfano pichani hao majenerali waliomzunguka na kiduku kakaa kwanini wasimtie kabari au kumtia shaba ya kichwa afilie mbali kisha jeshi lishike nchi kisha liweke misingi mipya ya utawala kuliko ilivyo sasa eti nchi ni mali ya familia ya Kim watakuwa wamesaidia nchi kutoka utumwani raia wana furaha za uoga na kinafiki tu.!
Unadhani ni rahisi hivyo, mbona kwa ccm imeshinfikana?
 
Je kuna takwimu zozote za raia wa North korea kutekwa na wasiao julikana?
au ni utamaduni wa nchi za zetu za democrasia na utawala bora, na vyama vingi?

Naona pesa yao ina thamani:
Pesa ya North Korea inaitwa KPW;

1 USD = 900.KPW

1 USD = 2,731 TZS
 
Pamoja na Korea ya kaskazini kutengwa na nchi nyingi duniani lakini bado ina maendeleo kuliko Tanzania.
 
Kuongelea nchi za wa wengine mnajua nyie nchi mnatekwa mna uwawa na hamafanyi kitu
Kazi kuongelea yasio wahusu
 
Umesahau kusema kuwa kuna adhabu ya vizazi...yaani ukifanya kosa ww hata mjukuu wako au babu yupo hatiani!!

Kila nyumba ina picha ya Viongozi hao watatu tangu babu yake na wakaguzi wakiikuta ina vumbi au imeharibika kivyovyote adhabu itakuhusu!!

Kila rais atakapokuwa na hafla ni lazima upige makofi kumshangilia ama akipita au akiwasili

siku aliyokufa babu au baba yake nchi nzima lazima kila mtu ahuzunike, ukikutwa una furaha adhabu ni kifo!! Kwa hapa Tanzania tuseme jana 14/10 ambapo taifa lilikuwa na kumbukizi ya kifo cha Hayati Jk Nyerere hata kama kulikuwa na Birthday yako au sherehe aisee ukikutwa una furaha ni kifo na lazima usitishe!!

China ndo muangalizi mkuu wa Nchi hiyo Tangu enzi ya Mao Tse Tung maana hataki kupenyezwa kwa propaganda za kibeberu!!

Huyo jamaa kama ni ukali basi amezidi
 
Pamoja na wazungu kuwa na mapungufu yao ya kibinadamu ila style ya maisha ya wazungu kwangu mimi ndio life style bora kuwahi kutokea duniani. Liberty yaani freedom of live as you wish. Haya mambo ya kupangiana pangiana kila kitu na sheria kali kali ni mambo ya hovyo hata kama inampa binadamu kila kitu itafika wakati atajihisi kuna kitu kapungukiwa.
 
Mkuu moja la kanusho si hilo apo juu....aya na wewe ulete chanzo cha hyo propaganda yako sio za kukopi uko x

Hujaandika mkuu sema umecopy...na kupaste....
Kakanusha huyo ajuza ama Nate kanakili na kubandika?
 
Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku.

Korea Kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu vya dini haviruhusiwi kuingia nchini humo
  • Rais anaheshimika kama Mungu
  • Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya Marekani.
  • Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.
- Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.

- Hakuna vyama vingi.

- Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.

- Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
Korea kaskazini - kuvaa Vimini marufuku,
  • Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.
  • Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.
  • Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.
-Haina ubalozi Tanzania.
-Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.
  • Rais akiongea ukisinzia unapigwa risasi, mwaka juzi waziri wa ulinzi alipigwa risasi hadharani kwa kosa la kusinzia kwenye kikao wakati rais akiongea,
  • Nchi Pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya marekani.
  • Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.
  • Ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi.
  • Hakuna vyama vingi.
  • Hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.
  • Kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo.
  • Kunyoa kiduku ni style anayo nyoa Rais tu.
  • Ndio nchi inayoongoza kwakuwa na mabalozi wachache duniani.
  • Ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.
  • Haina ubalozi Tanzania.
  • Raia hawaruhusiwi kuangalia movies za nje ya nchi.
View attachment 3122319
Alaf BANGI ni halali,,,,ila SKANKA anavuta rais tu!!
 
Back
Top Bottom