Ifahamu kwa kifupi Korea Kaskazini

Ifahamu kwa kifupi Korea Kaskazini

Usisikilize story za kutungwa wale jamaa wapo mbali sana, sidhani kama Kuna nchi ya Africa inauchumi mnzur kuwapita Hawa jamaa. Wale jamaa hasa technology inawabeba sana.
Najua NK ni level nyingine sema nilikuwa nanogesha tu. Haya turudi kuichambua nchi yetu tuweke hapa yanayotusibu tuache kuongelea ya watu
 

Sasa kwann bwana Mshana Jr utuletee habari za ulongo...?? Kwa faida gani...??

Haya mambo ya uongo yangewekewa ban....@jf embu liwekeni kwenye jamii cheki huu uongo
Huhitaji kuwafundisha JF kazi kama unadhani huu ni uongo ukanushe kwa kuweka ukweli wake
 
Eti hakuna democracy,Kola watu wana utaribu wao-why utaratibu wako uone bora kuliko wa mwingine.huo ni ufala
 
Vilevile,hamna anaye jua kuhusu hiyo nchi kwa hakika mengi yanayosemwa kuhusu wao ni propaganda za west na korea kusini
 
UMASKINI NI MBAYA SANA NA UJINGA NI MBAYA SANA.
 
Wale wajinga wote waliosema nimeandika uongo nikawaomba walete chagizo la ukweli wako wapi mpaka sasa?
Kukanusha ni rahisi sana kuliko kuthibitisha
 
Back
Top Bottom